Kabendera, Kitabu pekee hakina nguvu ya kumfanyia Mtu Character Assassination kwenye nchi Maskini hasa za Afrika

Hata hivyo kuna kitabu kingine cha yule prof wa zambia kinachomsifia Magu kitasomwa pia kwahiyo tusichukulie hivi vya kumkashifu pekee ndivyo vitasomwa baada ya miaka 200
HACHAFUKI KAMWE !
Hii yote ni janja janja ya mabeberu na mafisadi !
Tumewastukia 🙏 !
 
Kaangalie hii movie mkuu
 

Attachments

  • ppv4777724868593031812d2435c8a-d29c-4b6a-8dd8-f840d00ef6a5.mp4
    2.7 MB
Ha
Hakuna awamu ambayo haikuwaacha wahanga !
Mwamba HACHAFUKI na Hachafuliwi kwa wanyonge wa Nchi hii ambao ndio wengi !
Mengine yote ni Abracadabra za akina naniliu wa Nchi hii a.k.a Wajanja wajanja !
 
Vyovyote itakavyo kuwa lakini ukweli umeandikwa. Hapa sio mapenzi ya Watanzania bali ni ukatili wa huyo mwendazake mshenzi.
 
Sawa, lakini ukweli wa baadhi ya maovu yake umma wa watanzania umeshayajua. RIP Ben Saa 8.
 
No matter how incendiary or factual this book is, it is soon to be sent into the dustbin of history just like, KAPTURA LA MARX, NYERERE ALIKUWA MCHAWI, WHO TELLS THE TRUTH IN TANZANIA, KWAHERI UKOLINI:KWAHERI UHURU, nk.

The old will die, and the young will forget.​
 
Kama lilivyo jina lake Kabendera ni kafuata upepo tu kuna upepo fulani kana ufuata ni mambo ya msimu hayana madhara.
 
Lengo la kitabu kuandikwa sio character assassination
 
Bandiko lako liko vizuri ila kuna vitu hujavielewa.

Magufuli akiwa rais kabla ya yote yule alikuwa ni binadamu kama mimi na wewe kuna mahali hata licha ya urais wake alienda na watu kutekeleza au kusaidiwa kutekeleza ila haimaanishi wote walipenda aliyoyafanya sasa hawa ndio walikuwa wakitumia ile account maarufu enzi zile "kutema nyongo" ndio maana umeona alivyofariki hata ile account imebaki kama account za udaku tu kule .

Magufuli alifanya censorship kubwa alizuiwa kusemwa wazi, unapozuia watu kukusema wazi jua watatafuta njia ya wewe kukusema ni katika mlinganyo huo Magufuli na Nyerere ndio wameandikiwa vitabu vya kuonyesha maovu yao cha Nyerere kitafute kinaitwa "The dark side of Nyerere's legacy" kimeandikwa na
Ludovick Mwijage akiwa uhamishoni aliyepitia madhila ya utawala ule na vile teknolojia haikuwa juu basi mengi pia hayakuwahi kujulikana.

Ukiruhusu watu wakakusema na kukukosoa hata ukitokana kitini basi hata ile jazba ya watu itakuwa imepungua , mfano hivi kuna rais aliyewahi kusemwa kama Kikwete?

EPA, Richmomd, Dowans, Meremeta n.k hivi vilijadiliwa wazi hadi kufika bungeni na Richmond ikaondoka na watu live live , nani angeweza kuripoti hivi enzi za Magufuli ambaye alitoa order hata bunge lisiruke live?

Kikwete tangu atoke madarakani ni miaka 9 sasa sina kumbukumbu kama kuna mtu ameandika kitabu kuhusu yeye ila hata siku akiandika usitarajie kitajaaa kama yaliyoyajaa kwenye vitabu alivyoandikiwa Magufuli ambaye hadi sasa ni miaka 3 hayupo madarakani ila kaandikiwa vitabu 2.

Twende mbele turudi nyuma nataka nikukumbushe tu isingekuwa "viapo" s hivyo vyombo vya dola sio wote wanafurahia uonevu na madhila ya kinyama kwa watu.

Nakupa mfano katika mahojiano ya Sativa alipotekwa hadi kufikishwa Oysterbay polisi waliomfikisha pale walimuacha kwa polisi wengine na waliomhoji walibaki kumuuliza tu "Kwani umefanya kosa gani kubwa hadi mtu mkubwa kama huyu ZCO [Mafwele] kuja hapa tena jioni ameacha familia ilhali angepiga tu simu ya amri?

Hivyo tukae tukifahamu ukifanya jambo watu wanakuwa na wewe tofauti na hapo basi labda haupo hai mimi nilisoma na waziri mmoja alikuwa kiongozi wa chakula zile tabia zake za hovyo kuiba vyakula stooni na kuuza mtaani siku amekuwa waziri ile wizara alipata issue moja ya wizi wa pesa za walipakodi mwisho akabebwa kwa jina la mzazi wake na makada wakongwe wa Lumumba ila guess what yule mtu mimi nilimjua kitambo tabia zile na kumbe hata hakubadilika hata alivyofika level ya uongozi wa juu kwenye nchi muda mwingine ni rahisi kumtoa nyani msituni ila sio rahisi kuutoa msitu akilini mwa nyani.
 
Kama ni kutahiriwa kabendera anatembea kichwa chake kikihitaji kutahiriwa, sasa sijui hiki alichokianzisha kama alijiandaa maana yake yeye na kizazi chake ahame nchi kwa jinsi ambavyo watanzania walivyo na mahaba na Dkt Magufuli, he is a deadman walking! Atakufa kifo kibaya sana na familia yake wote kawaletea tabu sana, no kabendera will be spared. Kama alidhani ni ngojera atapata umaarufu basi kajichimbia kaburi la mateso na vifo kwake yeye na familia yake. Dunia ndi ndogo na ni duara, Dkt Magufuli ni jeshi kubwa na Mungu siku zote amekuwa upande wake na ndiyo maana hata Tundu Lisu mwaka 2024/25 ndiyo kajua akiyetaka kumuua ni mbowe na siyo Dkt Magufuli
 
Unazungumzia tabaka la chini kivipi wewe? Magufuli aliwajali vipi kwanza, kila kitu alikuwa anapeleka Chato, hadi makao makuu ya utalii, center of excellency, makao makuu ya CRDB Chato, badala ya Geita au Katoro, Huo uwanja mkubwa wa hadhi ya class ya kimataifa kwenye kijiji kidogo cha Chato? Wasukuma waliojazwa serikalini( Sina nia mbaya na wasukuma, lakini ukweli lazima usemwe). Wewe unayemtetea ni wazi kuwa umenufaika na uwepo wa Magufuli. Rais mbaguzi haijawahi kutokea, amempita hata mama mwenye kuupiga mwingi.
 
HACHAFUKI KAMWE !
Hii yote ni janja janja ya mabeberu na mafisadi !
Tumewastukia 🙏 !
Bado mnadanganywa na mpo kwenye hangover ya ujamaa, Mabeberu, hao wanaowapa misaada ndiyo mabeberu zenu? Wakiwaambia mnateka na kuua mnawaita mabeberu, wakiwapa pesa mnawaita development partners. Mnachekesha nyiye. Nafuu beberu kuliko mbuzi jike.
 
Well said. Tunampenda sana Magufuli. Vibaraka wa mabeberu wanapoteza tu muda na resources.
 
Bado mnadanganywa na mpo kwenye hangover ya ujamaa, Mabeberu, hao wanaowapa misaada ndiyo mabeberu zenu? Wakiwaambia mnateka na kuua mnawaita mabeberu, wakiwapa pesa mnawaita development partners. Mnachekesha nyiye. Nafuu beberu kuliko mbuzi jike.
Makasiriko !
 
Aliua wangapi we pimbi?

Hivi unajua jk yalilipuka hadi mabomu?

Unajua kama walikufa watu 5 kwa mpiho kwa kurushiwa bomu la mkono kwenye mkutano wa chadema?

Hebu taja watu 5 waliouawa na JPM
Akina Azory Gwanda na Benny Saanane wako wapi.
 
Umechambua vizuri Ila kuhusu Magufuli kupendwa sana hii sio kweli

Magufuli ndo rais Pekee alipokufa watu walikesha bar kunywa na kula .

Japo Mimi nilikuwa namkubali Ila watz wengi walikuwa hawampendi .
Hao ni wa kutaja kwa majina ukamaliza

Kusema ukweli, mwandishi kaandika ukwi tupu, JPM alikuwa lulu ya wengi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…