Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Hahahahaha, bado uko finyu sana. Soma kuhusu Locution au lexicon.
 



Nasema hivi; lete hapa maneno halisi ya tafsiri yako ya kiswahili ya hayo maneno yako, mbona ni jambo rahisi tu, fanya hivi; nenda kwa huyo mtu uliyenukuu hayo maneno na muombe akupe original scripts ya kiurdu kutoka kwenye hilo jarida unalodai na akupe kurasa nk, nasi tutangalia tafsiri ya neno kwa neno ya hiyo tafsiri yako.

Nimekupa historia ya hilo jarida kwani wewe hulijui na ndio maana hata jina lake ulikosea kuliandika mara mbili kwasababu umekopi kutoka kwa maadui wa Ahmadiyya na hiyo ndiyo shida ya kukopi hovyo bila kutumia akili yako binafsi---- sasa uongo aandike mtu mwingine kusutwa wajasutwa wewe!!!.

Wafuasi wa Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) wanaitwa/tunaitwa Waahmadiyya na jumuiya yetu katika Uislamu inaitwa Ahmadiyya, Qadian ni kijiji alikozaliwa Hadhrat Ahmad (as), na wewe wajua hivyo sasa iweje watuita Makadiani??, je ni sawa kwa waisilamu badala ya kuitwa Waisilamu waitwe Wamakka/Meccans kwasababu tu Mtukufu mtume Muhammad kazaliwa makka??---- basi kumbuka Qur'an inakataza kuitana majina mabaya na wewe kama Muisilamu yakupasa uzingatie hilo au wewe ni muisilamu jina???!!.

MWISHO, Nataka ulete original scripts za kiurdu za hilo jarida la Alfadhl ili tulinganishe tafsiri hiyo uliyotuwekea ili usijeshikwa UONGO, baada kumaliza suala hilo ndipo tuje kwenye mjadala wa zile mada 4 moja baada ya nyingine.
 
Biblia yoyote ile uipendayo, iwe ya Roman Catholic, iwe ya Protestants, iwe ya Orthodox au iwe version yoypte uipendayo, Yesu hajawahi kuziona wala hazijuwi.

Soma hapo Luka 4:17-20 Yesu akiwa Hekaluni siku ya Sabato akisoma kutoka Chuo/Kitabu cha Nabii Isaya. Chukuwa Biblia yeyote kati ya ulizozitaja hapa uangalie yaliyomo kama hutakutana hicho Kitabu cha Isaya.
 
Hujasema kuhusu ukristo pia.
bibilia imeeleza vizuri kabisa kuhusu hili ukisoma Yakobo 1;27 utaijua dini ya Mungu ni ni ipi na ukisoma 1yohana 4;8 natumaini utapata mwanga zaidi Mungu ni nani!
 
Na changamoto iliyo kuu...
1. Wengi wetu tumerithi Imani za wazazi.
Umezaliwa umekuta wazazi ni waenda kanisani, basi unaenda hukohuko....

2. Kila Imani hufundisha kwa kukomaa kwamba wao ndio sahihi...!!! Huku wakiwa wamezirithi..!!!

#YNWA
unaweza kuanzisha imani yako hakuna anae kuzuiya mkuu
 
Soma hapo Luka 4:17-20 Yesu akiwa Hekaluni siku ya Sabato akisoma kutoka Chuo/Kitabu cha Nabii Isaya. Chukuwa Biblia yeyote kati ya ulizozitaja hapa uangalie yaliyomo kama hutakutana hicho Kitabu cha Isaya.
Mie naandika "biblia" wewe unasema Isaya.
 
Hivi wazungu na waarabu waliumbwa na Mungu gani mkuu huyu huyu Mungu wa waafrika?
 
Sasa hilo imani ilikuwa wapi wakati zingine zinaanza?
Na kwanini ina maandiko ya imani zingine yani yalikwisha kuwepo miaka maelfu kwa maelfu
 
Nafikiri wewe ndio shida maana hakuna kwenye Biblia juu ya kuchomwa wenye thambi hakuna mahali kwenye bible wameonyesha
 
MUNGU ALIKUWA MGENI AFRICA ?
Dini ndio imeleta yote haya we angalia tukija kwenye suala la Pesa wote ss ni Dini moja
 
Kuna wasioamini Mungu na kusema hayupo, kuna wasioamini Mungu ila hawasemi hayupo kwa sababu hakuna njia ya kujua kuwa hayupo, kuna wasioamini Mungu huyu wa waislamu na wakristo.

Matabaka haya tunayafanyaje?
Kwa mfano kama nani?
 
Hahahahaha, bado uko finyu sana. Soma kuhusu Locution au lexicon.
Kitendo Cha Allah kuchemka kujua solar system , ni mistake kubwa mno na haielezeki labda ujitie ukichaa kama anavyofanya kisai, ameamua ajilipue tu akubali Jua linazama kwenye maji chini ya kiti Cha Allah
 

Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu
 
Non political, non Religious, non affiliated and that's the message, Yes I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…