Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Jibu swali wewe vitabu vya huyo Mungu ni 66 au 73?
Jambo la muhimu ni kuwa Injili inawafikia watu wengi zaidi kila iitwapo leo hajilishi idadi ya vitabu kwenye Biblia. Kumbuka kwa records zilizopo Biblia ndio kitabu ambacho kimechapishwa kwa nakala nyingi kuliko chengine chochote duniani. Haijalishi iwe ni ya vitabu 66 au 72.