Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, ni kitabu pekee kinachotoa challenge ya kuwa kusanyikeni wote mshirikiane na majinni lakini hamtoweza kuleta japo sura moja ya Qur'an.Hapo hapo ukiulizwa Quran ni maneno ya nani? Jibu lazima utoe ni Allah , huwa nawacheka Sana
Kakitabu ambacho ni sawa na index ya Biblia unashindwa vipi kukariri,Naam, ni kitabu pekee kinachotoa challenge ya kuwa kusanyikeni wote mshirikiane na majinni lakini hamtoweza kuleta japo sura moja ya Qur'an.
Challenge nyengine ni muujiza, wa Qur'an kuwa ni kitabu pekee kilichohifadhiwa vifuani mwa watu.
Kitabu kipi kingine ukijuacho kilichohifadhiwa na watu wengi na watu wa takriban kila taifa na kila lugha?
Hahahahahaha mtu niliekutana nae aliekariri Biblia tena si biblia tu na Vedas za Kibaniani zote na vitabu vingine vingi sana ni mmoja tu.Kakitabu ambacho ni sawa na index ya Biblia unashindwa vipi kukariri,
Wakusanyike nani wakati Quran Allah kachukua maneno ya shetani kaweka, siafu kaweka , maneno ya majini kaweka ,
Alafu unasema majini na unajua wazi Yana sura nzima yanaongea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ingia YouTube search singing bible Aramaic , utakuta watu wanaimba biblia cover to coverHahahahahaha mtu niliekutana nae aliekariri Biblia tena si biblia tu na Vedas za Kibaniani zote na vitabu vingine vingi sana ni mmoja tu.
Wewe umekariri biblia?
Unaongelea nyimbo?Ingia YouTube search singing bible Aramaic , utakuta watu wanaimba biblia cover to cover
Alafu nimekwambia usifananishe ka Quran kitabu sawa na index ya Biblia , Yani Koran ukubwa wake unaishia pale panaposema yaliyomo ,
Biblia nimekariri , na nikifundisha kanisani sifungui nataja verse nasema kilicho andikwa
Ndio maana nimekwambia koran ni kakitabu ukubwa wa index ya Biblia , Yani ukubwa wa Koran ni ile sehemu inasema yaliyomo ndani ya bibliaUnaongelea nyimbo?
Huo ni ujuha.
Qur'an ni kila siku kwa uchache kutwa mara tano, watu kwa mamilioni, dunia nzima, wanaisoma ghaib.
Utalinganisha na kitabu kipi kingine? Huoni hata haya?
Ilifikia maali madogo wananibana kwa nini unakitabu Cha majini! Ikabidi niki download online kile physical nikichome mbele YaoUnaongelea nyimbo?
Huo ni ujuha.
Qur'an ni kila siku kwa uchache kutwa mara tano, watu kwa mamilioni, dunia nzima, wanaisoma ghaib.
Utalinganisha na kitabu kipi kingine? Huoni hata haya?
Hatuna mafundisho hayo sisi Waislamu.
Naam, ni kitabu pekee kinachotoa challenge ya kuwa kusanyikeni wote mshirikiane na majinni lakini hamtoweza kuleta japo sura moja ya Qur'an.
Challenge nyengine ni muujiza, wa Qur'an kuwa ni kitabu pekee kilichohifadhiwa vifuani mwa watu.
Kitabu kipi kingine ukijuacho kilichohifadhiwa na watu wengi na watu wa takriban kila taifa na kila lugha?
Mada ni pana inawahusisha wanaoamini Mungu hadi wasioamini Mungu ambao hawana diniMjadala wa hapa haukufai, soma kichwa cha mada.
Natumaini mpaka muda huu utakuwa umeshiba, sasa karibu tufanye mjadala kibusara.Maana ya mjinga haisubiri wakati, sababu ni kinyume cha kujua, yaani kutokujua jambo.
Sasa kama Ukadiani huujui bado unataka tena nisubiri nifturu. Yaani uone ni jinsi gani ulivyo mjinga,vyaani bado unataka kuminyana tena kwa jambo ambalo hulijui ?
Si ajabu kwako kumkana Mola.
#Petty thoughtConclusion
Kama sisi " Waamini Mungu yupo" tumeshindwa kuelewana na wenyewe kuwa Mungu ni wa upande gani, Je kuwaaminisha ""Wasioamini Mungu yupo"" ya kwamba ""Mungu anataka Mafundisho ya kina John au Khadija"" Tutaweza kweli??
Mi nafikiria sisi Tunaoamini Mungu tukae kikao..!!! tuelewane kwanza then ndio tuwafate wasio amini Mungu ndio ""TUWAPE HABARI ZA MUNGU""
#YNWA
Umetumia nguvu nyingi kufikiri vitu rahisi sana.Scenario
Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri".
Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?"
Flash back
Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao.
Lakini pia nimekuwa nikisoma juu ya wanaoamini Mungu yupo wakitoa madini yao pia.
The Problem
Ila mi binafsi nahisi Kuna tatizo kwa "Sisi Waamini Mungu"
We fungua Uzi wowote kwa wasioamini Mungu, utaona kila mwamini Mungu yupo anatoa ushahidi wake ambao ni tofauti na ushahidi wa mwengine.
Hebu soma ushahidi wa wakristo juu ya Mungu yupo?
Then soma ushahidi wa Waislamu juu ya Mungu yupo?
Utaona japo wote wanaoamini Mungu yupo ila kila side ina views zake na comments zake ambazo sometimes zinatofautiana kabisa yaani ZINAPINGANA.
We Waambie watoe view juu ya Mungu yupo kupitia Maandiko yaliyomtaja Yesu na Mtume Mohammed S.A.W utaona wako tofauti na kama hata wao ""Wanakinzana na kugombana kimawazo""
Sasa najiulizaga "Ikiwa kama sisi Tunaoamini Mungu yupo" tunazinguana..!! Tutawezaje kumuaminisha huyu ambae haamini Mungu yupo Akaamini?
The Paradox
Nina rafiki zangu wawili John (Mlokole - namwitaga baba Mchungaji) na Khadija (Sunni - huyu namwitaga ustadhati mzuri..!!!)
Hawa watu wawili kama wewe ukitaka kupata ""Confusion kichwani mwako"" we waulize swali kama ""ikiwa Imani ndio msingi mkuu wa kufata mafundisho ya Mungu ili twende peponi basi Motoni anaenda wa Imani gani?""
Atakachokujibu baba Mchungaji ni tofauti kabisaa na ustadhati wangu mzuri..!!!
What is Behind?
Sasa huwa najiuliza
1. Mungu hajui huu mkanganyiko alionao Khadija na John juu yake?
2. Huyu Mungu atawachoma wakina Khadija au wakina John kwasababu kati yao mmoja anatumia njia isiyofaa kumfata yeye (Haya ndio mawazo ya John na Khadija, huyu shika Biblia huyu shika Quran)...??
3. Huwa najiulizaga ""Kwanini Mungu asitoe tu one statement ili kutoa one truth true..!!""
Maana ukitaka kujua juu ya Habari za Mungu na Pepo, na Jehanamu basi John atakufundisha hivi na Khadija vile...!!!! Yaani tofauti Tena kwa kupingana kabisaaa.
Kwanini Mungu asiseme yeye mwenyewe "Kundi hili ndio lipo sahihi na nyie wotee nifateni kwa staili ya kundi hili"
Conclusion
Kama sisi " Waamini Mungu yupo" tumeshindwa kuelewana na wenyewe kuwa Mungu ni wa upande gani, Je kuwaaminisha ""Wasioamini Mungu yupo"" ya kwamba ""Mungu anataka Mafundisho ya kina John au Khadija"" Tutaweza kweli??
Mi nafikiria sisi Tunaoamini Mungu tukae kikao..!!! tuelewane kwanza then ndio tuwafate wasio amini Mungu ndio ""TUWAPE HABARI ZA MUNGU""
#YNWA
Dini (njia) hakuna asiyenayo, asiyeamini Mungu basi huyo dini (njia) yake ni ya shetani.Mada ni pana inawahusisha wanaoamini Mungu hadi wasioamini Mungu ambao hawana dini
Hii ni namna ambayo wewe binafsi umeamua kuitafsiri diniDini (njia) hakuna asiyenayo, asiyeamini Mungu basi huyo dini (njia) yake ni ya shetani.
Wewe fata ujuayo. Mimi ni Muislam. Unafahamu maana ya Uislam?Hii ni namna ambayo wewe binafsi umeamua kuitafsiri dini
Kuna member anaitwa ROBERT HERIEL huyu anakuambia ukristo ni upendo, kwa maana hiyo hata wewe hapo ni mkristo endapo una upendo wa jambo lolote
Sifahamu zaidi ya kujua kuwa ni diniWewe fata ujuayo. Mimi ni Muislam. Unafahamu maana ya Uislam?
Siyo kwenye matope tena ?Hatumuitaji Ibn kathir wakati Muhammad katoa maelezo ya kutosha kabisa
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih