Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Jibu swali wewe vitabu vya huyo Mungu ni 66 au 73?
Injili fake ndio maana mmeshindwa kuelewana juu ya hiyo injili, mpaka leo mmeshindwa kukubaliana kuwa vitabu ni 66 au 73Jambo la muhimu ni kuwa Injili inawafikia watu wengi zaidi kila iitwapo leo hajilishi idadi ya vitabu kwenye Biblia. Kumbu kwa records zilizopo Biblia ndio kitabu ambacho kimechapishwa kwa nakala nyingi kuliko chengine chochote duniani. Hajalishi iwe ni ya vitabu 66 au 72.
Tangu nimeanza kusoma hizi thread za atheists na deitists sijawahi kutana na mada poa kama hii
Leo ukumbi ni wa deitists,siye atheists tukae kando
Injili fake ndio maana mmeshindwa kuelewana juu ya hiyo injili, mpaka leo mmeshindwa kukubaliana kuwa vitabu ni 66 au 73
Kisai wewe unaweza kumkubali mtu anaesema Jua linazama kwenye matope?1. Utatu mtakatifu, hajafundisha mafundisho haya Yesu.
2. Kwani Wakristo mnamkubali mtime Nabii ? Mbona unauliza swali la kitoto sana na kupotezeana muda ?
Unamjuaje fulani ni MUISLAMU ? Unajua kama wewe huujui UISLAMU ?Ulimuita kafiri Mokaze na wakati ni fellow muslim
Umeoana sasa ulivyo mjinga. Watu wapo aina nne kwa mujibu wa elimu.Makadiani ndo wakina nani
Mi nazungumzia muislamu mwenzako uliye muita kafir
Hili tushalifananua zaidi ya mara moja. Kauli yako unatakiwa kuitolea ufafanuzi.Kisai wewe unaweza kumkubali mtu anaesema Jua linazama kwenye matope?
Ukikubali mtu anaesema Jua linazama matopeni , ni kwamba umeamua kuwa mpumbavu,Hili tushalifananua zaidi ya mara moja. Kauli yako unatakiwa kuitolea ufafanuzi.
Jibu ni kuwa namkubali.
Hatuna mafundisho hayo sisi Waislamu.Umekimbia kusema Mtume Muhamadi SAW ndiye Roho Mtakatifu.
Ohh! kumbe kuna namna ya kumjua muislamu ukiachana na identity yake ya majina, consent, na elimu ya dini pamoja na uumini wake?Unamjuaje fulani ni MUISLAMU ? Unajua kama wewe huujui UISLAMU ?
Hata yeye mwenyewe (Mokaze) hawezi kuthibitisha ya kuwa yeye ni Muislamu.
Kwani maelezo ya aya hamna...?Ukikubali mtu anaesema Jua linazama matopeni , ni kwamba umeamua kuwa mpumbavu,
Waislamu wenzako wanakazana kupinga hiyo issue mpaka wanakataa maneno ya Muhammad maana wanajua ni ujinga kusema Jua linazama matopeni
Sahihi kabisa. Umekubali kama wewe ni mjinga ila unajiona unajua ?!Ohh! kumbe kuna namna ya kumjua muislamu ukiachana na identity yake ya majina, consent, na elimu ya dini pamoja na uumini wake?
Ila wewe unaweza kujithibitisha ni Muislam
Suala la Mola kuwepo halima namna hili lipo na hajawahi kutokuwepo.@Mokaze ebu kubaliana vizuri na ndugu yako mya settle down kwanza, ukishajitoa kwenye hilo kundi la Makadiani uje tujadiliane namna gani Mungu anaweza kuwepo
Sistaajabu wewe kunita mimi mjinga, hususani katika muda huu ambao njaa inakuwa imechanganya (nyie mnaita swaumu)Umeoana sasa ulivyo mjinga. Watu wapo aina nne kwa mujibu wa elimu.
1. Hajui na anajijua yeye hajui, huyu tunamuita MJINGA, anatakiwa kufundishwa.
2. Hajuivna hajui kama yeye hajui na anajiona anajua, huyu anaitwa MPUMBAVU. Huyu ni wewe. Yaani Makadiani huwajui halafu unadai kwamba yeye ni Muislamu mwenzangu ? Unatakiwa kujitambua uache ujuaji sababu unakuwa kituko mbele ya wanao jua.
Muulize muhusika MAKADIANI ni kina nani, atakwambia.
Shukrani.
Maana ya mjinga haisubiri wakati, sababu ni kinyume cha kujua, yaani kutokujua jambo.Sistaajabu wewe kunita mimi mjinga, hususani katika muda huu ambao njaa inakuwa imechanganya (nyie mnaita swaumu)
Nakushauri (kama utakuwa willing) usubiri ule kwanza (nyie mnaita iftari) ukishiba uje hapa tufanye mjadala kistaarabu (bila personal attacks)
If I were you I would consider all words in brackets seriously
Personal attacks are commonly torwad to the man who make an argument rather than discussing the argument itselfSahihi kabisa. Umekubali kama wewe ni mjinga ila unajiona unajua ?!
Sasa tuliza akili usome mambo toka watu wake na uyaelewe.
Mimi naweza kujithibitisha ya kuwa ni Muislamu.
Suala la Mola kuwepo halima namna hili lipo na hajawahi kutokuwepo.
Mpaka hapa sina namna itabidi tu nisubiri ule kwanza ndio tuendeleze huu mjadalaMaana ya mjinga haisubiri wakati, sababu ni kinyume cha kujua, yaani kutokujua jambo.
Sasa kama Ukadiani huujui bado unataka tena nisubiri nifturu. Yaani uone ni jinsi gani ulivyo mjinga,vyaani bado unataka kuminyana tena kwa jambo ambalo hulijui ?
Si ajabu kwako kumkana Mola.
Sasa personal attacks vipi ? Unakataa kama wewe siyo mjinga juu ya UISLAMU ? Aisee kijana una matatizo ya akili.Personal attacks are commonly torwad to the man who make an argument rather than discussing the argument itself
Thibitisha wewe ni muislamu
Sipingani na chochote ambacho Mtume amekuja nacho.Thibitisha wewe ni muislamu
Kazi uangu nimemaliza.Mpaka hapa sina namna itabidi tu nisubiri ule kwanza ndio tuendeleze huu mjadala
Hatumuitaji Ibn kathir wakati Muhammad katoa maelezo ya kutosha kabisaKwani maelezo ya aya hamna...?
Hili jambo tushaliezea zaidi ya mara moja.
Niliwauliza hivi :
1. Hiyo aya Mtume aliielezea vipi ?
2. Maswahaba zake walielewa vipi na wakaifanyia kazi vipi ?
Kila kitu kipo wazi, niliposema namkubali sababu najua najadiliana na mtu wa aina gani.
Sasa rejea Tafsiri Ibn Kathir katika hiyo aya ambayo nyinyi mnadai ya kuwa Jua linazama kwenye matope.