Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Hapo hapo ukiulizwa Quran ni maneno ya nani? Jibu lazima utoe ni Allah , huwa nawacheka Sana
Naam, ni kitabu pekee kinachotoa challenge ya kuwa kusanyikeni wote mshirikiane na majinni lakini hamtoweza kuleta japo sura moja ya Qur'an.

Challenge nyengine ni muujiza, wa Qur'an kuwa ni kitabu pekee kilichohifadhiwa vifuani mwa watu.

Kitabu kipi kingine ukijuacho kilichohifadhiwa na watu wengi na watu wa takriban kila taifa na kila lugha?
 
Kakitabu ambacho ni sawa na index ya Biblia unashindwa vipi kukariri,

Wakusanyike nani wakati Quran Allah kachukua maneno ya shetani kaweka, siafu kaweka , maneno ya majini kaweka ,

Alafu unasema majini na unajua wazi Yana sura nzima yanaongea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hahahahahaha mtu niliekutana nae aliekariri Biblia tena si biblia tu na Vedas za Kibaniani zote na vitabu vingine vingi sana ni mmoja tu.

Wewe umekariri biblia?
 
Hahahahahaha mtu niliekutana nae aliekariri Biblia tena si biblia tu na Vedas za Kibaniani zote na vitabu vingine vingi sana ni mmoja tu.

Wewe umekariri biblia?
Ingia YouTube search singing bible Aramaic , utakuta watu wanaimba biblia cover to cover

Alafu nimekwambia usifananishe ka Quran kitabu sawa na index ya Biblia , Yani Koran ukubwa wake unaishia pale panaposema yaliyomo ,

Biblia nimekariri , na nikifundisha kanisani sifungui nataja verse nasema kilicho andikwa
 
Unaongelea nyimbo?

Huo ni ujuha.

Qur'an ni kila siku kwa uchache kutwa mara tano, watu kwa mamilioni, dunia nzima, wanaisoma ghaib.

Utalinganisha na kitabu kipi kingine? Huoni hata haya?
 
Unaongelea nyimbo?

Huo ni ujuha.

Qur'an ni kila siku kwa uchache kutwa mara tano, watu kwa mamilioni, dunia nzima, wanaisoma ghaib.

Utalinganisha na kitabu kipi kingine? Huoni hata haya?
Ndio maana nimekwambia koran ni kakitabu ukubwa wa index ya Biblia , Yani ukubwa wa Koran ni ile sehemu inasema yaliyomo ndani ya biblia

Quran ni mashahiri yasiyo na muendelezo Yani verse na verse unakuta Allah anasema nilimpaiza muhammad verse inayofuata anasema na Musa tukamfanyaje sijui , Yani unajikuta unataka kujua habari ya muhammad kupaa alafu ndio hasemi tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Unakuta Allah na shetani wanarap kwa kuishia na herufi moja

Mfano Allah anasema na ondoka hapa na nimekufanya upotee
Shetani nae anaongea nitamvizia na nitamfanya apotee

Yani Kuna mda nasoma nacheka mpaka watoto wanauliza unacheka nini
 
Unaongelea nyimbo?

Huo ni ujuha.

Qur'an ni kila siku kwa uchache kutwa mara tano, watu kwa mamilioni, dunia nzima, wanaisoma ghaib.

Utalinganisha na kitabu kipi kingine? Huoni hata haya?
Ilifikia maali madogo wananibana kwa nini unakitabu Cha majini! Ikabidi niki download online kile physical nikichome mbele Yao
 
Hatuna mafundisho hayo sisi Waislamu.

Waulize wale wanazuoni wa Kiislam/ masheikh wabobezi wa ukosoaji wa Ukristo jinsi wanavyohangaika kutumia Biblia kuonesha ya kwamba Bwana Yesu alitabiri /aliwaahidi wafuasi wake ujio wa Roho Mtakatifu ambaye ndiye mtume Muhamad SAW.
 

Kuna ukweli wowote kuwa kila aliyehifadhi lazima apate msaada wa majini/anamajini?
 
Natumaini mpaka muda huu utakuwa umeshiba, sasa karibu tufanye mjadala kibusara.

Tuliishia pale ambapo ulisema unaweza kuthibitisha wewe ni muislam
 
Waafrika tumekua brain [emoji3447] washed na hizi dini...

Kuna sehem nimeuliza kwanini Yesu hakua na mke..
Badala ya kutumia akili kutafakari wananishambulia,
Naonekana mkosefu mbele ya dini....
 
#Petty thought
 
Umetumia nguvu nyingi kufikiri vitu rahisi sana.

Nikuulize maswali kadhaa nikianza na:
1. Umesema Mungu atahukumu watu; unamaaanisha Mungu yupo hai?

2. Kama yupo hai unapata taabu gani kumuuliza maswali hayo?

3. Tukiwa hapa duniani kuna sheria na mahakama; Je mambo ya sheria hizo huwa tunasoma kwenye vitabu vya hadithi au kuna vitabu maalumu?

Ninachokijua mimi ni lazima kuwa kuna maandiko ambayo Mungu atayatumia kwenye hukumu na si kila andiko yaani naweza fanisha na official marking scheme.

Kuhusu kutaka kwako watu wawe na ufanano hilo unapoteza muda wako bure. Mfano katika familia yenu kulikuwa na sheria je wote mlizifuata?

Hivi umeshindwa kufikiri tu kwa akili za kawaida kuwa waislamu na wakristo hawaamini Mungu mmoja? Tena umeshindwa hata kutazama tu kuwa hata hao wapagani pia wa miungu yao na sanamu zao mbona hujawaunganisha hapo?

Pia si lazima wote wamuamini Mungu maana kila mtu anachagua anachokitaka. Wengine hata wakimuona Mungu kwa macho yao ya nyama watamkataa tu.
 
Dini (njia) hakuna asiyenayo, asiyeamini Mungu basi huyo dini (njia) yake ni ya shetani.
Hii ni namna ambayo wewe binafsi umeamua kuitafsiri dini

Kuna member anaitwa ROBERT HERIEL huyu anakuambia ukristo ni upendo, kwa maana hiyo hata wewe hapo ni mkristo endapo una upendo wa jambo lolote
 
Hii ni namna ambayo wewe binafsi umeamua kuitafsiri dini

Kuna member anaitwa ROBERT HERIEL huyu anakuambia ukristo ni upendo, kwa maana hiyo hata wewe hapo ni mkristo endapo una upendo wa jambo lolote
Wewe fata ujuayo. Mimi ni Muislam. Unafahamu maana ya Uislam?
 
Siyo kwenye matope tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…