Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Na 1Yohana 4;20

Ongezea na hapo Luka 14:12-14. Upendo kwa mujibu wa Neno la Mungu ni suala mtambuka. Uko Upendo wa Mungu kwa mwanadamu, upendo wa mwanadamu kwa Mungu na upendo wa mwanadamu kwa mwanadamu. Ndio zile Amri Kuu mbili za Mungu zinazo beba zile nyengine kama Bwana Yesu alivyo jibu swali la ni ipi amri iliyo kuu kuliko nyengine kati ya amri 10 za Mungu alizopewa Musa?
 
Hayo ni maneno ya Yohana.

Hivi anaitwa Yohana bin nani vile?

Yohana bin Zebedayo na nduguye Yakobo na mama yao Salome. Yohana alikuwa ndiye mwanafunzi pendwa na Bwana Yesu na kwa umri alikuwa mdogo kati ya wale 12.

Yohana wa Zebedayo na Salome alikatwa mkono na watesi wakati wa mateso yake na ukamea mkono mwengine. Huu mkono wa Yohana uliokatwa, Kichwa cha Yohana Mbatizaji, jambia la Goliati ambalo mfalme Daudi alitumia kukata kichwa cha Goliati na Fimbo ya Haruni iliyo sprout vipo kwenye jumba la makumbusho huko Uturuki hadi hii leo.
 
Uwez sema asiemuamini Allah atachomwa moto wakat hiyo dini imaenza juzi tu miaka ya 1400 iliyopita, na kabla yake kuna maelfu ya imani zilikuwepo kabla yake.
Unajua kama wewe ni MJINGA katika hili ? Ukikataa unakuwa MPUMBAVU.

Nani amekwambia UISLAMU umeanza mwaka 1400 ?

Mitume na manabii wote walikuwa Waislamu.

Sasa ni imani gani ambayo ilikuwepo kabla ya UISLAMU ?
Mungu yupo lkn si huyo mnaemuabdu ktk magenge yenu ya dini.
Umejuaje kama Mungu yupo ?
Mbingu na motoni hazipo na hazitowai kuwepo maana ziliundwa na hao wana dini ili kuwatisha watu na kuwafanya waoga na watumwa wa imani.
Umejuaje kama mbingu na moto haupo ? Unao ushahidi juu ya hili ?
Muumba wa kweli hana haja na dini ili umjue, bali kufuata sheria za uumbaji, upendo kwa viumbe wake na kutii sheria za , jamii yako unayokuzunguka.
Unaweza kuniambia malengo ya wewe kuwepo hapa Duniani kupitia hizo sheria za uumbaji ?

Unazijuaje hizo sheria za uumbaji ?
Kupinga mafundisho ya dini isiwe kigezo cha kumuita mtu mpagani, maana hata wew unakuwa mpagani kwa kuikana imani ya uafrica na kukumbatia imani za mtu mweupe ambazo ni uongo na copy ya ile origin ya imani za babu zako.
Imani ya Uafrika ni ipi na msingi wake ni upi ?

Naomba unitajie mambo matatu tu ambayo hizi imani tulizo letewa zime copy toka kwenye imani za mababu zako ?
Kimsingi imani na dini zote si sahihi maana ukifuatilia zote kiundan zinamakosa na zote zipo chini ya lengo moja na muanzilishi mmoja aliekuwa na targets zake kwa jamii fulani.
Imani gani uliyo ifatilia wewe ukaikuta ina makosa ? Naomba utolee mfano imani ya Uislamu. Onyesha kosa hata moja, ukiweza kuonyesha kosa hata moja mimi nitaomba hii ID yangu ifungiwe na wewe utakuwa shahidi.
Hakuna ukwel ktk dini ndiomaana mnapingana ninyi kwa ninyi.
Ulichoandika hapa nina uhakika hujakifikifia kiunadani. Kupingana baina ya mtu na mtu au mwingine na mwingine, kuna sababu nyingi sana, moja wapo ni mmoja akawa mjinga (kama ulivyo wewe) na mwingine akawa muelevu, au wote mkawa wajinga juu ya jambo husika.
Kiuhalisia dini zote asili yake ni imani za kishirikina ambazo ziliabudiwa na mababu wa kiafrika ya kale yaani misri na sehem zingine baran Africa, na baada ya ujio wa races za watu weupe na kuanza kustaharabika wakazicopy hizo imani na kuzistaharabisha kwa kubadili histories, majina na wahusika wa hizo imani na ndipo ujio wa dini na misahafu ukaanzia hapo.
Ukionyesha ukweli wa hiki ulichokiandika mimi nitaomba hii ID ifungiwe. Nilichokiona watu kama nyinyi msipo ulizwa maswali ya msingi mtazidi kupotea na kuwapoteza wajinga wenzenu. Yaani unaandika mambo ya uongo kuanzia mwanzo mpaka mwisho, tena unaandika mambo ambayo tukikuomba ushahidi huwezi kuutoa mpaka unakufa.

Huu ujasiri huwa mnautoa wapi ?
 
Binafsi Nnaamini Mwenyezi Mungu ni mmoja na Dini ni moja tu, nayo ni Uislam.
Umerudi palepale kwenye kiini cha mada yangu.
Umekuwa upande wa Ustadhati Khadijah then umeenda kinyume na mawazo ya baba Mchungaji..!!!

Kwenye hili swali hakunaga mtu anayetoa jibu bila kuwa biased.
Kuna mmoja alinijibu ""Siku hizi mpaka uarabuni wanasoma Biblia, halafu unauliza dini gani jibu sahihi? Amka wewe""

#YNWA
 
Ongezea na hapo Luka 14:12-14. Upendo kwa mujibu wa Neno la Mungu ni suala mtambuka. Uko Upendo wa Mungu kwa mwanadamu, upendo wa mwanadamu kwa Mungu na upendo wa mwanadamu kwa mwanadamu. Ndio zile Amri Kuu mbili za Mungu zinazo beba zile nyengine kama Bwana Yesu alivyo jibu swali la ni ipi amri iliyo kuu kuliko nyengine kati ya amri 10 za Mungu alizopewa Musa?
upendo ndiyo ukamilifu wa torati haugawanyiki mkuu, wagaratia 5;14
 
Umerudi palepale kwenye kiini cha mada yangu.
Umekuwa upande wa Ustadhati Khadijah then umeenda kinyume na mawazo ya baba Mchungaji..!!!

Kwenye hili swali hakunaga mtu anayetoa jibu bila kuwa biased.
Kuna mmoja alinijibu ""Siku hizi mpaka uarabuni wanasoma Biblia, halafu unauliza dini gani jibu sahihi? Amka wewe""

#YNWA
Mungu Hana Dini Mungu Ni Upendo
 
Kingine,wakana Mungu wote wana matatizo ya akili.
Soma comment za juu hapo wakristo na waislamu kila mtu ANAVUTIA KWAKE.

Sisi Waamini Mungu na wao Wakanaji nani ana matatizo ya akili?

Wakanaji wotee wanasauti moja "Mungu Hayupo" mbona sisi Waamini "Kila mtu ana lake?" Huoni sisi ndio wenye matatizo?

#YNWA
 
upendo ndiyo ukamilifu wa torati haugawanyiki mkuu, wagaratia 5;14

Endelea hapo 5:15. Kusema Upendo unaoperate vipi si kusema upendo unagawanyika. Hii ni kama kule kusema Wakristo wana miungu watatu kwa kujichanganya na zile Nafsi Tatu za Mungu na jinsi zinavyo fanyakazi.
 
Soma comment za juu hapo wakristo na waislamu kila mtu ANAVUTIA KWAKE.

Sisi Waamini Mungu na wao Wakanaji nani ana matatizo ya akili?

Wakanaji wotee wanasauti moja "Mungu Hayupo" mbona sisi Waamini "Kila mtu ana lake?" Huoni sisi ndio wenye matatizo?

#YNWA
Kuwa na sauti moja ni ujinga ulio pea hasa katika suala hilo.

Sasa utakuwaje na akili timamu muda wa kuwa unaye mkana humjui tena kwa masikitiko makubwa huna ushahidi wa kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Ukitaka kujua wakana mungu wote wana matatizo ya akili, angali hoja zao wanazo tumia kusema mungu hayupo. Wengine wanatumia Falsafa na Logic. Sasa unajiuliza lini viwili hivi vilitumika kuujua ukweli ? Walishindwa kina Aristoto, kina Socrate, kina Plato na wengine vipi wao waweze ?

Mwingi anakwambia Mungu hayupo kwa sababu hayupo. Huu ujinga mwingine.

Wanao amini Mungu ubishani unakuja kwa sababu ya watu kupindisha maandiko sahihi ya mitume. Tena uzuri wote wanafanana. Mayahudi walipotosha mafundisho ya Musa,kisha waka mkana Yesu, Wakristo wakapotosha mafundisho ya nabii Issa (Yesu) kisha waka mkana mtume Muhammad, ukiangalia huu mtiririko unafanana kwa watu waovu.

Shukrani.
 
Ukisoma paragraph ya mwisho ""Umeenda ila ukaangukia kulekule UMEWAKANA WACHUNGAJI na kutuaminisha Uislamu ndio dini sahihi""

Then Kuna yule mkana Mungu leo anataka kuabudu, hujamtatulia tatizo.

Ila umetoa biasness.

Katika hili sijawahi ona mwenye Imani fulani akasema "Anayo amini yeye sio sahihi ila ya mwenzake ndio sahihi, kila mtu hutukuza cha kwake"

Ukipenda na ukiweza tuwekee mafundisho ya Bwana Yesu ambayo sisi Wakristo tumeyapotosha kwenye Biblia ili kumkana Mtume Muhamad SAW.
 
Mungu Hana Dini Mungu Ni Upendo
1. Yesu akasema "Huwezi kufika Kwa baba yangu bila kupitia Mimi"

Yesu akasema "mama angu na ndugu zangu ni wale washikao mafundisho yangu na kuzitii amri zangu"

Ili ufike kwa Mungu lazima uokoke.

2. Waislamu "Mungu ni mmoja na yeyotee afananishaye Mungu na vitu vyengine afanya shiriki""

Mfanya shiriki yeye ni motoni.

Mungu ni mmoja na Mtume wake ni mmoja nae ni Mtume Mohammed S.A.W

Sasa kuna yule mtaka kufika peponi, huoni anachanganywa tu?

#YNWA
 
Ukipenda na ukiweza tuwekee mafundisho ya Bwana Yesu ambayo sisi Wakristo tumeyapotosha kwenye Biblia ili kumkana Mtume Muhamad SAW.
1. Utatu mtakatifu, hajafundisha mafundisho haya Yesu.

2. Kwani Wakristo mnamkubali mtime Nabii ? Mbona unauliza swali la kitoto sana na kupotezeana muda ?
 
Ukisoma paragraph ya mwisho ""Umeenda ila ukaangukia kulekule UMEWAKANA WACHUNGAJI na kutuaminisha Uislamu ndio dini sahihi""

Then Kuna yule mkana Mungu leo anataka kuabudu, hujamtatulia tatizo.

Ila umetoa biasness.

Katika hili sijawahi ona mwenye Imani fulani akasema "Anayo amini yeye sio sahihi ila ya mwenzake ndio sahihi, kila mtu hutukuza cha kwake"

#YNWA
Kwamba unakataa ya kuwa Uislamu siyo Dini sahihi ?

Kuangukia kule kule wapi ? Sasa mbona unataka kulazimisha ionekane hoja yako ni nzito sana wakati ni nyepesi mno na majibu tumekupa ?

Watu hawawezi kuwa sawa au kutopisha na sababu wapo walio amua kwa makusudi kuukataa ukweli. Hujaelewa nini hapo ? Wengine wamekataa ukweli pasi na kujua hawa tuna waita Wajinga na stahiki yao ni kuelekezwa na kufundhishwa. Ila wapo sasa WAPUMBAVU hawa huwa tunawaacha.

Mkana Mungu akitaka kuabudu leo hii nimeshampa jibu, arudi kwenye Uislamu sababu huku ndiko mitume na manabii wametokea.

Kingine ukweli wa mmona wetu huja kuonekana katika hoja zake na ushahidi. Kwahiyo usighurike na madai, ya kila mtu kudai yeye ni sahihi, bali hoja ndiyo huja kutoa majibu sahihi.

Shukrani.
 
Wa kimila mlishaachwa tangu enzi za Kaini huko leo hii kete uliyo nayo ni ama unaisika kweli na kukata shauri au unapotea kama alivyopotea Kaini muasisi wenu wa kumfuata mungu wa dunia hii aka shetani.
Kaini unamjua wewe? acha stori za Abunuasi hizo ebu malizeni tofauti zenu kwanza vitabu ni 66 au 73?
 
Mkuu Ukristo ni ufuasi wa kumfata Yesu kristo utaitwa mkristo ikiwa utaishi sawasawa na mafundisho ya Yesu na sio uwingi au uchache wa vitabu vya bibilia, kinachofanya kuwe na tofauti kati ya wakristo kwa wa kristo ni aina ya mafundisho yanayofundishwa kutokuwepo kwenye bibilia,
Kama Yesu alikuwa mmoja iweje wote mnaojiita wafuasi wake mpingane? hapa kuna vitu vinachekesha sana mkuu halafu cha kushangaza zaidi wote mnasoma Mathayo huyo huyo na Luka huyo huyo
 
Ndio Mungu anavyotafutwa hivyo na wampendao na kumpokea na kuamua kuishi sawasawa na mapenzi yake. Wewe unazungumzia Wakristo kuwa na tofauti hujiulizi Nuhu na wanawe Watatu na wake zao waliookolewa wakati wa gharika bado wakatofautiana na akatokea Ibrahim.
Badala ya kujibu maswali ya msingi unaleta habari za Nuhu, vitabu ni 66 au 73?
 
Back
Top Bottom