Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Aise unajua kitaa huwa hatuzingatii kufanya utafit kabla ya kununua gar mwsho wa siku ndo kama hivyo unanunua gar 11M+ alaf baada ya muda mfupi unaamua uiuze hata kwa 4M kutokana na mateso makali unayo yapitia... Juz kat niliona jamaa anauza audi moja Kali sana kwa 7M ile itakua ni msala tu
 
Sio Msala tu bali ni anahamishia msiba kwa mwenzie. Vipuri vyenyewe vya mamilioni hivyo unaanzaje kuingia gharama.
 
yeah mie kausafir kangu kalikuwa kanabwia kishenzi nikakatwisha plug mpya now kanagonga 9-10km/l kulingana na condition ya barabara.
 
Naona umemtajia familia ya nz[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap ni cheap ila kwa spear tulizozoea huku madukani kwetu. Ukizitafuta zile zenyewe ni gharama. Jaribu utaamini. Hiyo haiondoi uhalisia kwamba kwa mazingira yetu, ni vizuri kuwa na Toyota. Si spear tu hata mafundi wetu wanayajua sana.
Kwenye mafundi nakubaliana na wewe. Kina gari nimeitelekeza huko mikoani mafundi wameshindwa kujua shida ni Nini. Hapa ndipo nilifika nikatamani Toyota
 
Premio unajiendesha kwa gharama nafuu kuliko Brevis...
Na premio mara nyingi haxina homa ndogo ndogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…