Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Chale ni kweli. Wasukuma jiangalieni mwilini Kama huna chale Kama yupo mie nabeti Ila ni wazuri kiutu sio wachoyo, bajeti ya chakula hawana Mana pia ndio wanaolima mno Tanzania
 
Kwani kuna ubaya gani kama zinatumika kwa ajili ya kuponya ugonjwa. Hujawahi kuchanjwa kwenye hospitali zenu za kizungu? Jitambueni.
Tofauti hakuna,tulitaka kuwekana sawa kuwa zile sio urembo bali tiba
 
Safi sana both team to score
 
Kwahiyo mtu kujisahau remote kwenye mkoba ni ushamba
 
Waganga wa huko ni kuchanja tu
Sababu kuna Wachawi na Wanga wengi ukienda usukumani mwepesi mwepesi huchukui round unazimwa unaenda na maji, kuna mother alipelekwa kikazi huko akapewa ABC zao akakaza kichwa kaenda akiwa mjamzito kilichomkuta sasa hatunae, usiwalaumu kwa kupigwa chale maana yake kuna Wachawi wengi wengi mno na waganga ni wa kumwaga na zinachomwa dawa asubuhi, mchana na usiku especially sehemu za biashara hakuna duka ambalo muuzaji hachomi dawa sio mama lishe sio yaan kila sehemu ambayo kuna biashara dawa zinachomwa lengo ni kufukuza wachawi na wanga ambao wanawanga huko muda wote sio asubuhi sio mchana sio usiku wao ni kuwanga tu
 
Msukuma akienda kusaga unga anaenda na gunia la kilo mia Moja 🀣🀣🀣 limejaa Hadi juu
Kuna mwamba amejenga mashine kabisa ya kusanga mahindi na kukoboa mpunga wa familia zake tu ili kupunguza gharama.
Kwenye hicho kijiji wasukuma 3 walichanga wakaanzisha majengo ya shule ya msingi kwa ajili ya watoto wao
 
Mimi ni msukuma sina chale hata moja na sijawahi kwenda kwa mganga.
 
Unejitahidi tu kuhitimisha vyema. Tuliza nukari, ndio JF ilivyo
 
Duh basi labda wenu saizi tunatoka kusifu na kuabufu na shemeji yenu Msukuma
 
Chale niutamaduni wa jamii husika kwakawaida baadhi ya dawa za asili zipo zinazo pandikizwa kwenye damu.
Hivo niwewe kuona umuhimu wakile unacho patiwa na wazee wamila zako au udharau. Binafsi nimeoa msukuma kuhusu Asili wasukuma nimoja ya jamii inayo heshimu sana mila zao.hivyo mimi ikafanya nione ndio mwanamke sahihi kwangu.
Mdharau asili hufa kikatili.
 
Na ukuchangia chochote pamoja na kumkula mke wake Yaani nawe walikuwa wageni wako ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…