Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Uko sahihi na sababu kubwa wamecover eneo kubwa sasa niambie msukuma wa shinyanga mpaka aende mkoa wenye kabila lingine atasafiri kilometer nyingo sana,kwa hiyo ni rahisi kwao kudumisha mila kitu ambacho ni kizuri
 
😂😂 Bora ayo yanavumilika
Ushirikina hauvumiki kwangu,pata picha unatoka kaxini unakuta mke ametoka kuchoma madawa nyumba inanuka dawa hapo ngumu,mengine ya kaeaida
 
Walipomuunga mkono wote kwa ushenzi wa ndugu yao wakawa wanaona ni sawa tu kwa sababu ni kabila lao hadi leo sina hamu na mtu msukuma
Hii tabia ya kuungana mkono ndugu hata kwa maovu ni tabia ya makabila yote si Wasukuma tu, labda jamii au familia inayoamua kuishi kwa uadilifu, na kwa dunia ya sasa ni wachache sana
 
Nilipata demu wa kisukuma,sasa wakati tupo ndani akanikagua kisiri siri bila kujua,siku moja akaniuliza wewe mbona huna chale nikamwambia Mungu pekee atosha, alishangaa sana, nikamwambia chale sio mpaka uchanjwe zipo nyingine wireless gusa unate, Mpaka leo ananishangaa
 
Mchembe karanga na yoghurt ndiyo chakula pendwa kwao. Ila ni kabila linalo jali sana kwenye chakula hawana uchoyo kabisa kwenye msosi.
😂😂😂
 
mateso yote ayo bado na wewe unamnyanyasa
🤨
akijua atakuingiza kwenye bastola akutumie kama risasi
 
nipo kwao uku mniombe nisijepitiwa nikaozeshwa au nikadondokea mtego wa kupigwa faini 😃😃
 
Unanitisha ndugu, maana majukumu yamenileta Usukumani, itabidi mke nitafute Dar nilipopazoea.
 
Kwenye kujazana ndo wanapoharibu, wapo kama wapare au watu wa Morogoro.
 
Kilo moja ya mchele sisi Wasukuma huwa anakula mtu mmoja tu, ila mchele huwa hatuupendelei sana zaidi zaidi tunapenda kula ugali tena ule mkubwa kabisa
 
Na nyie mna cheat??
siwez kusema hapana,ila rate ni ndogo kulinganisha na makabila mengne!malezi yanahimiza heshima tofaut na malez ya kina JR huko kwingne!mwisho,wanawake wetu ni watamu sana!
 
Hii tabia ya kuungana mkono ndugu hata kwa maovu ni tabia ya makabila yote si Wasukuma tu, labda jamii au familia inayoamua kuishi kwa uadilifu, na kwa dunia ya sasa ni wachache sana
Wale jamaa walizidi aisee.....ushetani wa wazi kabisa nyeupe anaiita nyeusi na ni msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…