Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa mijusi.

Kama ambavyo skeptics hawakosekani popote, kulitokea ubishani mkubwa sana Wanafunzi wabishi tu wakitaka Quran iletwe waikanyage, kuichanachana au kuikojolea ili waone kama watabadilika na kuwa mijusi. Maustadh walipinga kabisa jambo hilo kwa ukali sana na ikashindikana kuthibitisha madai yao.
 
Na kuna dogo wa kigalatia aliikojolea na hakugeuka mjusi mtoto wa maalim kuona vile mbio kuripoti kwa baba yake baba mtu mbio kuwaalika waislamu wenzake kilichofuata ni mtafutano kanisa kuchomwa moto FFU wakaingilia kati
 
Ukikojoa au kunya kwenye Quran au Biblia hakuna balaa lolote baya litakupata, zaidi ya kwamba Binadamu ndiyo watakufanya kitu kibaya.
Kwahiyo ni kuheshimu Imani za watu na siyo kwamba Quran au Biblia itafanya balaa lolote
 
Kobazi huwa ni wapuuzi sana linapokuja suala la kuamini kitabu chao hicho cha kipuuzi. Yale ni maandishi tu kwenye karatasi hayana effect yoyote kwa mtu atakayoyakojolea au kuyachoma moto
 
Na kuna dogo wa kigalatia aliikojolea na hakugeuka mjusi mtoto wa maalim kuona vile mbio kuripoti kwa baba yake baba mtu mbio kuwaalika waislamu wenzake kilichofuata ni mtafutano kanisa kuchomwa moto FFU wakaingilia kati
na huko kanisani walichoma moto biblia washenzi hao wala hawakugeuka viumbe wa ajabu
 
Kobazi huwa ni wapuuzi sana linapokuja suala la kuamini kitabu chao hicho cha kipuuzi. Yale ni maandishi tu kwenye karatasi hayana effect yoyote kwa mtu atakayoyakojolea au kuyachoma moto
Kuna mwamba alibadili dini akaichoma moto wewe hawa jamaa kuna muda huwa naamini kuna fuse haziko sawa kichwani, kesi ikaenda mahakamani sasa wakajipanga wavamie akiwa analetwa mahakamani wamgeuze kisusio alooo watu walichomekea kanzu waliacha makobazi yao wana mbio hawa raia tupa kibaragashia huko mtu kachomekea kanzu anamwaga vumbi kama Usain bolt 🤣🤣🤣
 
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa mijusi.

Kama ambavyo skeptics hawakosekani popote kulitokea ubishani mkubwa sana Wanafunzi wabishi tu wakitaka Quran iletwe waikanyage, kuichanachana au kuikojolea ili waone kama watabadilika na kuwa mijusi. Maustadh walipinga kabisa jambo hilo kwa ukali sana na ikashindikana kuthibitisha madai yao.
Ngoja wakukute!
 
Back
Top Bottom