Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Huwa nashangaa sana! Unakuta asubuhi mpaka mchana vijana wa kiislam wa kiume na kike hasa wale waislam wa answar wapo misikitini kufundishwa upuuzi sijui ili waje kuwa masheikh au vipi. Hawafanyi kazi, huko si ndio kurutubisha umasikini katika jamii hiyo? Wangekuwa wanafundishwa ufundi, biashara na kilimo ingewafaa sana maishani mwao kuliko kufundishwa quran, haitawasaidia
Hua nashangaa nikikuta makafiri wanauziwa udongo, chumvi na mafuta ya upako eti ndio vitawafanya wawe matajiri kimiujiza bila kufanya kazi,ndio maana hua mnaitwa Kondoo.
 
Kuna hii nyingine hadi leo bado huwa naisikia sana mtaani kuhusiana na RC kwamba ukiingia mule kanisani kwao wakati wanaiabudu ile mikate yao ukavamia, ukaiiba au kuleta fujo mule

kwamba padre anaweza kukunyoshea mkono akakulaani na haitopita Siku utakufa au kuwa chizi
 
Dini ni utapel hasa makafir yanatapeliwa sana
 
Attachments

  • 1787414894728.jpg
    1787414894728.jpg
    175.9 KB · Views: 5
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa mijusi.

Kama ambavyo skeptics hawakosekani popote, kulitokea ubishani mkubwa sana Wanafunzi wabishi tu wakitaka Quran iletwe waikanyage, kuichanachana au kuikojolea ili waone kama watabadilika na kuwa mijusi. Maustadh walipinga kabisa jambo hilo kwa ukali sana na ikashindikana kuthibitisha madai yao.
Mimi nimeshawahi kuikojolea na kuvutia bangi, zote yaani Bible na Quran na nilifanya hivyo to prove that they're just papers. That was back in the day when I was still a teenager.
 
Na hakuna kitu inaeza kupta kukojolea hayo mavitabu ya waarabu wa mashariki yakati wote waloleta hiz dini wametoka mashariki ajabu waliweza penyeza mpka kwa wazungu hayo mambo yao sema wazungu kama wameanza shtukia mambo yadin hayawapotezei muda sana ila mashriki yakat na africa ndo balaa lipo
 
Kobazi huwa ni wapuuzi sana linapokuja suala la kuamini kitabu chao hicho cha kipuuzi. Yale ni maandishi tu kwenye karatasi hayana effect yoyote kwa mtu atakayoyakojolea au kuyachoma moto
🙄😬😒😫Sisi Shura Ya Maimam Kwamtoro
Tunasema Islam Dini
Ukichezea Kitabu Cha Mnyazimungu Tunakuandama Kama Kunguru Weusi
 
Usisahahu mazingaombwe na story za freemason ooh mara kuna lusifa sijui ni nyoka mkuuubwaaa😃😄😁
Ukikuta anavyochambuliwa 2pac,Rihana,Jay z na Beyonce juu ya kuwa freemason. Hawaishii hapo uwakute wanachambua timu za mpira sasa...kwamba kwanni arsenal wanatumia nembo ya mzinga au kwanini Man u wanaitwa mashetani wekundu..mara kwann mpira unaanzishwa katikati ya uwanja na kuna mduara.Hapo hawajachambua kitabu cha ufunuo na pembe sijui mara 666. Waislam wanafuraishaga sana kama siyo Dini yako😅😅😅😅
 
Yoda Hii vita yako dhidi ya Dini (Uislam) hautaishinda. Uislam ushapigwa vita na unapigwa vita kubwa kubwa sana sana tokea zamani mpaka sasa. Hii Dini lau kama isingekuwa imetoka kwa Allah basi ingekuwa ishakufa siku nyingi sana kwa jinsi adui zake walivyokuwa wana dhamira ya dhati ya kuifuta Dini na wanavyokutana pamoja kuipiga vita ya kisilaha na kiakili.

Kama waliishindwa Warumi, Waajemi (wanaoabudu moto), Crusaders, Mongols, na wenzao wote waliowafuatia wameishindwa Dini hii katika vita vyao vya kisilaha.

Wameishindwa katika vita ya kiakili na kifikra.

Kama waliishindwa Dini hii Orientalists kutoka Magharibi ambao waliisoma Dini hii kwa undani ili waipige vita ya kielimu na kifikra kwa kutumia kalamu zao karne ya 19 na 20, tena wakati ambao ukoloni wa Nchi zao ulikuwa unaenea kwenye Nchi nyingi za Kiislam,

Na kama maadui wote wa Uislam, tena wakiwa combined, wenye nguvu katika hii Dunia wanaishindwa Dini hii kwa namna zote za kuipiga kwao vita.

Basi wewe Yoda katu hutaiweza hii Dini katika propaganda yoyote unayojaribu kuipaka.

Hii Dini hutakiwi kujiminya kuipiga vita, utapata hasara, unatakiwa kuifuata.

Namuomba Allah Akuongoze.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah, na ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah, Allahumma Aamiin.
 
Hili Papai lina chuki ya udini sana,halafu anaonekana ni mtu aliyepigwa na maisha,mtu mwenye maisha yake hawezi kua na chuki ya udini,kajamaa kanaonekana kananuka umasikini mpaka kwenye makwapa.
 
Huwa nashangaa sana! Unakuta asubuhi mpaka mchana vijana wa kiislam wa kiume na kike hasa wale waislam wa answar wapo misikitini kufundishwa upuuzi sijui ili waje kuwa masheikh au vipi. Hawafanyi kazi, huko si ndio kurutubisha umasikini katika jamii hiyo? Wangekuwa wanafundishwa ufundi, biashara na kilimo ingewafaa sana maishani mwao kuliko kufundishwa quran, haitawasaidia

Nilishawahi kukuambia wewe ni mbwa unayebwekea msafara unaosonga mbele.
 
Yoda Hii vita yako dhidi ya Dini (Uislam) hautaishinda. Uislam ushapigwa vita na unapigwa vita kubwa kubwa sana sana tokea zamani mpaka sasa. Hii Dini lau kama isingekuwa imetoka kwa Allah basi ingekuwa ishakufa siku nyingi sana kwa jinsi adui zake walivyokuwa wana dhamira ya dhati ya kuifuta Dini na wanavyokutana pamoja kuipiga vita ya kisilaha na kiakili.

Kama waliishindwa Warumi, Waajemi (wanaoabudu moto), Crusaders, Mongols, na wenzao wote waliowafuatia wameishindwa Dini hii katika vita vyao vya kisilaha.

Wameishindwa katika vita ya kiakili na kifikra.

Kama waliishindwa Dini hii Orientalists kutoka Magharibi ambao waliisoma Dini hii kwa undani ili waipige vita ya kielimu na kifikra kwa kutumia kalamu zao karne ya 19 na 20, tena wakati ambao ukoloni wa Nchi zao ulikuwa unaenea kwenye Nchi nyingi za Kiislam,

Na kama maadui wote wa Uislam, tena wakiwa combined, wenye nguvu katika hii Dunia wanaishindwa Dini hii kwa namna zote za kuipiga kwao vita.

Basi wewe Yoda katu hutaiweza hii Dini katika propaganda yoyote unayojaribu kuipaka.

Hii Dini hutakiwi kujiminya kuipiga vita, utapata hasara, unatakiwa kuifuata.

Namuomba Allah Akuongoze.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah, na ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah, Allahumma Aamiin.
Believing in imaginary fictitious beings Allah/Mungu/Jehova exposes your dumbness.
 
Niliona zile picha mkuu, viumbe vya ajabu ajabu. Sema Uislamu una uongo uongo sana.
 
Ukristo wenyewe hauna uongo,angalia ukweli wenyewe hapa.
 
Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 7
Believing in imaginary fictitious beings Allah/Mungu/Jehova exposes your dumbness.

Utakwenda kukutana naye hivi karibuni tu wala si mbali. Ninamuomba Allah Akuongoze ili ukutane naye ukiwa umemuamini na unamuabudu Yeye Peke yake bila ya Kumshirikisha Yeye na Chochote na ukiwa unamuamini Mtume wake (Swala na Salamu ziwe juu yake), yaani uwe Muislam, Allahumma Aamiin.

Yangu kwako ni hayo tu, sina cha kujadiliana nawe tena.

Nimeridhia kuwa Allah ni Mola wangu Mlezi, na nimeridhia Uislam uwe Dini yangu, na nimeridhia Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume wangu.

Ninashuhudia kuwa Hapana Mola Apasae Kuabudiwa kwa Haki Isipokuwa Allah na ninashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wake.

Ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah, Allahumma Aamiin.
 
Back
Top Bottom