Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Nikiwa kwenye shughuli za kiufundi waliniletea maandishi ya quran waliyoyanukuu na kuyaandika kwa mkono ili nami niyanakili kwa kuyaandika upya kwenye bango la msikiti, nikawaambia mmekosea miundo ya herufi za kiarabu nipeni hiyo quran ninakili mwenyewe kiufundi wakakata kabisa kunipa quran, kumbe waliambizana kuwa mimi ni kafiri sistahili kushika quran. Kuna maandishi niliandika kwa uzoefu wangu masheikh wakaambizana yafutwe haraka kwa kuwa yameandikwa na kafiri, wakayafuta ili watafute fundi muislam wa kuja kuandika. Kwenye ukristo mafundi waislam wanaandika maandishi ya biblia bila kunyanyampaliwa kwa kuwa si wakristo tena wanapanda mpaka madhabahuni
 
Ma T-shirts na belts za freemason vimewapa ulaji sana watu, Kuna mmoja nilimsikia anasema hadi Osama bin Laden alikuwa freemason😁
Watu walikuwa wanatishwa na kupigwa kizembe sana.
Wangejua hata hao jamaa nao wanakosaga hadi kodi wasingekuwa wanawapaisha
 
Kobazi huwa ni wapuuzi sana linapokuja suala la kuamini kitabu chao hicho cha kipuuzi. Yale ni maandishi tu kwenye karatasi hayana effect yoyote kwa mtu atakayoyakojolea au kuyachoma moto
Ni bora wagalatia,wao hawafanyi utani,wameyakaribisha kabisa Mapapai na kuhiji nayo Vatican.
 
Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 9
Mara oo ukichoma daftari au karatasi uliyoandika shulen akili inaisha. Yangu walishawashia jiko na bado akili nnayo debe zima. Ila hapo kwa quran walfanya hivyo kuogopesha watu ili kuilinda
 
Huwa nashangaa sana kuona mtu ni msomi tena msomi wa chuo kikuu kasoma taaluma yake lakini ni mdini, hasa uislam, halafu mtu mwenyewe ni mwafrika mweusi tii, huwa namuona ni mpuuzi tu hata kama ana wadhifa mkubwa katika jamii
 
Hua nashangaa nikimuona Kafiri tena ni msomi anaamini kua eti Mungu wake alizaliwa na binadamu! Halafu huyo Mungu eti akaja kusulubiwa na Binadamu coz walimzidi nguvu! Halafu huyo mgalatia anaamini kua huyo huyo Mungu eti ndio atakuja kumsaidia yeye wakati yeye mwenyewe alishindwa kujisaidia!
 
Wagalatia mapapai mnapelekeana moto na Kanisa limebariki,ndio maana unaona ni sawa coz huko unapata unachokitaka,wewe Papai unachekelea tu moto wa paipu.
acha ushenzi we kobazi mpevu, hata uislam unaharibiwa maadili yake, tena nguvu kubwa ndio zimeelekezwa huko. Tazama nchi zenye chimbuko la uislam uone mambo! Unajua nini we mbongo mweusi tii? We unaamini imani usiyoijua vema, bendera fuata upepo, kale nguruwe upate afya
 
Kafiri endelea kufurahia kwani Papa alisha ruhusu mashoga kwenda kubarikiwa Vatican na kuhiji,yani huko wanaume kupelekeana moto ni jambo la baraka.
 
Huwa nashangaa sana! Unakuta asubuhi mpaka mchana vijana wa kiislam wa kiume na kike hasa wale waislam wa answar wapo misikitini kufundishwa upuuzi sijui ili waje kuwa masheikh au vipi. Hawafanyi kazi, huko si ndio kurutubisha umasikini katika jamii hiyo? Wangekuwa wanafundishwa ufundi, biashara na kilimo ingewafaa sana maishani mwao kuliko kufundishwa quran, haitawasaidia
 
Hua nashangaa nikimuona Kafiri tena ni msomi anaamini kua eti Mungu wake alizaliwa na binadamu! Halafu huyo Mungu eti akaja kusulubiwa na Binadamu coz walimzidi nguvu! Halafu huyo mgalatia anaamini kua huyo huyo Mungu eti ndio atakuja kumsaidia yeye wakati yeye mwenyewe alishindwa kujisaidia!
cha ajabu ni nini hapo? Hata wewe ni mungu wa watoto wako
 
Back
Top Bottom