Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Niliona zile picha mkuu, viumbe vya ajabu ajabu. Sema Uislamu una uongo uongo sana.
Kwahiyo zile picha ndio Uislam wenyewe? Kwamba sisi tunachukua Dini yetu na tunapaswa kuchukua Dini yetu kutoka kwenye mapicha picha?
Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia sasa kuwa; sisi Waislam tunapaswa kuchukua Dini yetu kutoka katika Qur-aan na Sunnah juu ya Ufahamu wa Wema waliotangulia.
Uislam ndio Haqq na ndio Dini Aliyotuchagulia Mola wetu Mlezi Aliyetuumba. Na Ndio Dini mbele yake. Na dini zengine zote kwake hazikubaliwi kwake na hatozikubali. Na yoyote aliyechagua Dini isiyokuwa Uislam basi hiyo dini hatokubaliwa na Akhera atakuwa ni mwenye hasara.
Yangu ni hayo tu kwako katika uzi huu.