Hizo picha Unaweza kuzipata utuwekee hapa mkuu 😅!Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa mijusi.
na huko kanisani walichoma moto biblia washenzi hao wala hawakugeuka viumbe wa ajabuNa kuna dogo wa kigalatia aliikojolea na hakugeuka mjusi mtoto wa maalim kuona vile mbio kuripoti kwa baba yake baba mtu mbio kuwaalika waislamu wenzake kilichofuata ni mtafutano kanisa kuchomwa moto FFU wakaingilia kati
Kuna mwamba alibadili dini akaichoma moto wewe hawa jamaa kuna muda huwa naamini kuna fuse haziko sawa kichwani, kesi ikaenda mahakamani sasa wakajipanga wavamie akiwa analetwa mahakamani wamgeuze kisusio alooo watu walichomekea kanzu waliacha makobazi yao wana mbio hawa raia tupa kibaragashia huko mtu kachomekea kanzu anamwaga vumbi kama Usain bolt 🤣🤣🤣Kobazi huwa ni wapuuzi sana linapokuja suala la kuamini kitabu chao hicho cha kipuuzi. Yale ni maandishi tu kwenye karatasi hayana effect yoyote kwa mtu atakayoyakojolea au kuyachoma moto
Hahahaaa oh how?Hizi simu ndio zimeongeza ujinga
Dini ni ulevi mbaya sanana huko kanisani walichoma moto biblia washenzi hao wala hawakugeuka viumbe wa ajabu
Ngoja wakukute!Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa mijusi.
Kama ambavyo skeptics hawakosekani popote kulitokea ubishani mkubwa sana Wanafunzi wabishi tu wakitaka Quran iletwe waikanyage, kuichanachana au kuikojolea ili waone kama watabadilika na kuwa mijusi. Maustadh walipinga kabisa jambo hilo kwa ukali sana na ikashindikana kuthibitisha madai yao.
Tazama naja upesi na ujira wangu u pamoja nami kumlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake! Maneno ya YESU!na huko kanisani walichoma moto biblia washenzi hao wala hawakugeuka viumbe wa ajabu
Ma T-shirts na belts za freemason vimewapa ulaji sana watu, Kuna mmoja nilimsikia anasema hadi Osama bin Laden alikuwa freemason😁Usisahahu mazingaombwe na story za freemason ooh mara kuna lusifa sijui ni nyoka mkuuubwaaa😃😄😁