Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

Niliona zile picha mkuu, viumbe vya ajabu ajabu. Sema Uislamu una uongo uongo sana.

Kwahiyo zile picha ndio Uislam wenyewe? Kwamba sisi tunachukua Dini yetu na tunapaswa kuchukua Dini yetu kutoka kwenye mapicha picha?


Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia sasa kuwa; sisi Waislam tunapaswa kuchukua Dini yetu kutoka katika Qur-aan na Sunnah juu ya Ufahamu wa Wema waliotangulia.


Uislam ndio Haqq na ndio Dini Aliyotuchagulia Mola wetu Mlezi Aliyetuumba. Na Ndio Dini mbele yake. Na dini zengine zote kwake hazikubaliwi kwake na hatozikubali. Na yoyote aliyechagua Dini isiyokuwa Uislam basi hiyo dini hatokubaliwa na Akhera atakuwa ni mwenye hasara.

Yangu ni hayo tu kwako katika uzi huu.
 
Hana lolote huyo imaginary monster being wenu, Allah my foot.
Religious beliefs are just myths, cheap ancient folklore.
 
Matajiri wakubwa Tanzania ni waislam

Na nchi Tajiro Duniani ni nchi za kiislam

Unasemaje hapo?
 
Wagalatia ni watu gani hao mbona huwa mnalazimisha watu tuamini hizo dini zenu zilizoletwa na waarabu na Wazungu?
Kamuulize mumeo,

Haya jibu swali uliloulizwa kwenye post 63# acha kunikatia viuno,chuki yako dhidi ya uislamu huwezi kuificha kwa kujifanya huna dini.
 

Kwa nini Allah anaruhusu mataifa mengine yawe na nguvu kuliko waislam wake?

Kwa nini allah anaruhusu israel awabonde waislam kila mara ??
 
Jibu swali wewe,matusi yako wapi hapo?
Wewe kusema mtu akibadili toka uislamu anauliwa huoni kua ni matusi na ni upumbavu?

Kuniuliza naishi Dunia gani huoni kua ni kaswali kakijinga?

Kamuulize mumeo,

Haya jibu swali uliloulizwa kwenye post 63# acha kunikatia viuno,chuki yako dhidi ya uislamu huwezi kuificha kwa kujifanya huna dini.
Matusi pekee ndiyo uliyobarikiwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…