Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Wapuuzi tu hao Hawana lolote, mwalimu wangu alisema hiki kipindi ndo tutajua watumishi wa kweli wa Mungu na WA mchongo .

Yaani wachukue tu hizo pesa ila zitawatokea puani sbb huyo mtu wao hatoboi ht akilazimisha Bendera nusu mlingoti.
Muombaji ndo mwamuzi wa mwisho!
Ukiona vitu haviko vzr ujue waombaji hatujakaa vzr kwenye zamu zetu!

Kiti kinamtaka atakae kaa pale Kwa ajili ya mapenzi Ya Mungu as great revival is coming kwenye nchi ,so hatuwezi kuwa na mtu juu kule anataka tuabudu mwezi, never!

Bwana ni mtu wa vita, Bwana ndio jina lake!πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
πŸ‘Š
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Zero mindset
 
Sawa mkuu.
Kwahyo our God amekuonyesha , ushungi atashuka chini? naomba sana atoke.
 
Kwamba jamaa watachezes cheusi na cheupe mtu ajikute nje ya kiti? Atafungiwa luteka? Haya ngoja tusubiri mm nimesha staafu
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
 
Kwamba jamaa watachezes cheusi na cheupe mtu ajikute nje ya kiti? Atafungiwa luteka? Haya ngoja tusubiri mm nimesha staafu
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
 
Reactions: jme
Mambo mengi ni siri ila hili sio siri.... plan as planned failed same it was advised before happen.... alie sema nitaweza naye akajikuta anameza sindano same ikamkwama ilipo mkwama wazee wakaingia kati wakasema twende na plan B yes wakamng'ata sikio jamaa mmoja muhimu sana kama Mungu alivyo mng'ata sikio mshikaje wake Ibrahim nataka kuutia moto ule mji wa sodoma ila na juwa una ndugu yako Ibra akamuomba Mungu kweli Mungu akaona isiwe tabu basi nitakusaidia ila nitawapa masharti Magumu kupona moto wa sodoma na gomora in short jamaa akasoma code akasepa na ilikuwa alert anao waacha akasema anaye taka kujiponya shurt asiangalie nyuma bila shaka sote tunajuwa nani aliangalia nyuma na nini kilitokea... kiufupi uwenda kiama kinakuja na kwa bahati mbaya hakuna mwenye secret code only few outside system niakina nani hao na wapo wapi na kwa ulafi huu nani atamzidi nani je itapigwa tena namba 1 and 2 down hatujuwi je itakuwa usiku wakutisha kama ule wa wanakusadikika helcopta kwenda na kurudi who know kila nadharia hakuna ajuwaye
 
Amen amen.
πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20250512-232949_Facebook.jpg
    271.8 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250512-233019_Facebook.jpg
    331 KB · Views: 25
Nakufuatilia Mtumishi ...kuna mambo
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania

CCM watageukana na fito watagawana
 
Anapaswa kukemea ili kuchukua credibility ila yeye ndo kwanza yupo busy na wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…