Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

shida sio samia
shida ni ccm.
alikuwepo magufuli katili kaondoka ccm imebaki.
kaja huyu katili mwingine nae ataondoka ccm itabaki.
 
Reactions: K11
Kiongozi busara, ungem-quote huyo britanicca na kumpa huo ujumbe, sio ku-post hayo mambo baada ya post yangu.

Vingenevyo ni kama vile unataka kunitafutia ugomvi na serikali ambao sina.
Chief, kuna ishara gani kuonyesha kuna mpaka ya alichoandika britanicca na ulichoandika wewe??

Kama mods waliunganisha uzi mimi siwezi kujua. Comment yangu ilikuwa kwa muandishi wa uzi.
 
Hongera ziende kwa mama, hakika mama anatenda. Bila yeye mpunga usingechanua👏🏼👏🏼👏🏼
Mama katoa ruzuku ya mbolea,dap bila ruzuku ni 75k,ruzuku 25k,urea 20k,big up kwa maza,kile kituko kilifuta ruzuku ya mbolea halafu kikawa kinapiga kelele ati rais wa wanyonge
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
???
 
Mama katoa ruzuku ya mbolea,dap bila ruzuku ni 75k,ruzuku 25k,urea 20k,big up kwa maza,kile kituko kilifuta ruzuku ya mbolea halafu kikawa kinapiga kelele ati rais wa wanyonge
Kaka mimi sio chama lenu bhana. Hizo ni nguvu za mwana, na baraka za Muumba. Sio huyo mama yenu. Yeye sio Mungu, na pia hakwenda kumlimia jamaa shamba. Hilo ni shamba la mpunga la jamaa, msiende mkaliuze.
 
Wewe unampenda adui yako gani!?
 
Huyo Ticha nae hajielewi,tatizo sio mtu ni mfumo.
 
Nyinyi watumishi waumma nanyinyi mtafute pakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…