ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Jambo lisukwe na mawakala wa shetani then useme Mungu huyu Sasa hapo Mungu wako anahusikaje?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Kalaga bahooomanyau nyau
🤓🤓Wewe hauna tofauti na Dr William wa USA kwa utabiri wa kugeneralize mambo.
Ipo wazi kabisa.Mh! Code ngumu hii
Hilo ndio tatizo la TZ yetu. Wenyewe ukiwa chawa na muimba mapambio tu sawa.Hayo ni maswala ambayo mtu mwenye akili timamu anatakiwa kujiuliza kama.
Senior civil servants fikra hizo zinatakiwa kuwa juzuu yao (kufanya risk assessment).
Civil service ya maana wangę changamkia fursa JK alipotoa ruhusu ya kubadili katiba wakaacha kupigania maslahi ya kupunguza madaraka na nguvu za raisi kuteua kirahisi nafasi zao.
Guess what mzee Warioba alikuwa against that idea too (wacha Makonda amzabee vibao babu ni useless tu kwa upande wangu).
Siasa kama discipline nyingine yeyote ina risk assessments zake kwa maslahi ya muda mrefu wa taifa. This is the essence of Plato’s ship allegory and what made his case for being the best philosopher of all time.
Ndio msingi wa usalama wa taifa ni kuwa mchezo wa watu wenye akili, kuna demu namjua mwajiriwa wa mambo ya nje (probably njagu) serikali imemsomesha chuo kikubwa (wanawalipia vyuo vikubwa).
Ila huyo demu wakati tuko shule wenzake walikuwa wanamgalagaza sana hakuwa na uwezo.
Sasa hizo nafasi sio za mzaha.
Na sisemi hawatafuti talent, ila sio lazima wawe diaspora ni jukumu lao kuokota watu wenye sifa sahihi na kuwapika based on intelligence.
Kuna watu wengi wanaufaulu wa 1.7 form four, 1.3 A’level na first class degrees za undergraduate hawa ndio candidates wa kwanza.
Get serious
Mkali, mkali tu; kuna demu ninaemjua alikuwa mkali utotoni. Future yake private kagombewa sana, kashika senior position nyingi (akiwa na options) za taasisi zinazomtaka na kumuongezea dau, sasa hivi yupo kwenye senior position za shell, wengine wako UN seniors.
Serikalini wengi unga, unga tu; kwa ninao wajua waliopo huko.
Kwani ni lazima kumkubali samia? Kama hafanyi yale wanayotaka majority, anafanya ya minority sisi wa hali ya chini tutamkubali vipi? Unatulazimisha? Au unataka uanzishe jihad ya sa100 usipomkubali upigwe? Wewe unamatatizo kichwani.Hujawahi kumkubali Samia kwa chochote tangu mwanzo. Mijadala yenye kuzua taharuki kwenye uongozi wake lazima ikuvutie. Mara ngapi britanicca amekuwa akitoa tabiri za uongo jukwaani? Lakini kwasababu zinafurahisha nafsi zenu huwa mnakuwa mbele kudadavua as if na ninyi ni sehemu ya huo mpango fake.
Talk science, talk science, talk science, and do not base your analysis of issues based on voodooKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mr. Tanga haya huko kwingine unganisha unganisha na Kiungo Bora siku zote huwa ni yule yule Mr. Pwani wenye Ukaribu.Mh! Code ngumu hii
Kuna mtu atashushwa 6 feet chini na kifusi cha Tani 3 juu.Kwa alieelewa jamani nini maana ya nyoka kuingia shimoni kinyumenyume?
GENTAMYCINE niliposema kuwa kuna Mtu kajaa mwenyewe Mfumoni si hamkunielewa? Kazi imeisha.Kuna mtu atashushwa 6 feet chini na kifusi cha Tani 3 juu.
Kuna nyuzi nyingi sana humu za kumsifia Mabeyo kwa kile kinachosemakana alikifanya,Mkuu umeongea sahihi kabisa. Mimi huwa nawaza sana kuhusu jambo hili. Inamaana nchi hii tumekosa kiongozi bora mpaka mambo yaendelee kwenda hivi yanavoenda na watu wanaangalia tu?
Mabeyo alitukosea sana watanganyika. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kutuepusha tusifike hapa lakini hakufanya hivyo. Matokeo yake heshima yake yote imepotea na sijui atafanya nini kurekebisha.
Sisemi kwamba lisu anafaa lakini kwa yanayoendelea afadhali hata lisu.
Hawawezi kuwa na uchungu na nchi sababu mtu kama Mwigulu ameshaanza kumuandaa mtoto wake kushika hizo nafasi, unategemea dogo kama yule atakuja kuwa na uchungu na hii nchi lini?Hao senior civil servants ni walamba asali na wabinafsi, hawajali chochote as long as ya kwao yanawaendea.
Hekaya za abunuasi....mkuu wewe huna jambo uliloletaga humu likawa la kweli!!Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania