Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

Hana jeuri hiyo mzee wa jalalani! Anavyotoaga ile mimacho yake na kulazimisha aaminike bila hoja kisa yeye profesa nilimdharau sana huyo mtu.... ni mtu wa hovyo na hana tofauti yoyote na washenzi wengine.
Hii mitandao bana... Ukamdharau au sio...!
 
Alishavunjiwa heshima yake baada ya eti kufukuzwa kazi kwa chuki za Utanganyika yeye na Lukuvi mwaka jana. Eti wazee.
 
Je HATOKUA mwanachama mpya wa UP!!?

Tusubiri!
Hakuna mwanaccm anaweza siasa nje ya siasa za CCM za kubebwa na vyombo vya dola. Ndio maana wakitoka nje ya CCM, huishia kuwa wanyonge maana mazingira ya mbeleko hayapo.
 
Hujamsikia Lissu? Lile jitu limesoma kwelikweli! Limekaa shule Germany miaka 9 likisoma
Ni kweli ila elimu yake kwa sasa imekuwa so outdated, ndio maana kila akipewa nafasi ya kuongea amebaki kuongea historia na siasa sa karne iliyopita za kina Nyerere. Kabudi hana ushawishi wa kupata hata kura 100 kwenye siasa za kizazi cha sasa.
 
Hata Lazaro Nyalandu alifanya hivyo

Wagombea wenzie wanasubiri tangazo la kuachia nafasi wakalichukue
 
Ha
Hakuna ulaji tena kwake,over.
 
Itakuwa anaujua ukweli juu ya yanayoendelea.
 

..Kabudi alijichafua kwa kuwa chawa wa kiongozi mkatili na mbaguzi.
 
Kwakua amekua kama abandoned na the way alivyokua unaumiza san, lkn lazima akubali siasa za bongo punde waeza fanywa raia wa kawaida!! Arudi tu jalalani. NB; Kamwe ubunge hauachiii!!
Akubali tu matokeo...
 
Mafuta.na maji hayakai.pamoja
Waadirifu na majizi ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…