Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Kama ni kwa fedha za familia sawa
Za serikali usiwe na hasira huyu alikuwa ni rais wa nchi tena mzalendo. For yo information falilia hawajachangia kitu chochote labda maji tu ya kujengea.
 
Nchi huliwa na wenye meno
 
Heshima ipi?
Rais Samia amempa heshima mtangulizi wake. Pumzika kwa amani mwamba..umeumaliza mwendo kwa alama mahususi.

Tutakukumbuka kwa mema na mabaya. Ila hakimu na Wakili ni Mola wetu Mlezi.
 
Kaburi laweza jengwa kwa marumaru, dhahabu, lulu na almasi je kilichomo ndani yake kinasadifu mng'aro na mapambo ya nje? Tuwe na kiasi na tusivuke mipaka kwani adhabu ya kaburi aijuae ni maiti.
 
Kipi cha ajabu wakati hata Drug cartel kule Mexico wanajengewa makaburi kama haya

 
Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu
shujaa wako wewe na familia yako.
Je hawa? acha hizo, huko aliko anateketea kwa moto mkali, mpambeni tu lkn Mungu anajua ukweli wa alichokitenda kwa watu, KATILI

 
Atakumbukwa mwamba wa tz
 
Hata angezungushiwa dhahabu, bado ataendelea kuwa mzoga tu ndani ya kaburi!
 
Pambana na hali yako kwanza mwezako huko aliko anapambana na madhila aliyowafanyia watu hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…