Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

Vipi maisha ya watu? Vipi vipato vya watu mmoja mmoja wana pesa mifukoni?
Mpaka Marekani masikini wapo. Kumbuka maoni ya wanafunzi wa Yesu juu ya mafuta ya thamani kubwa sana yule kahaba aliyotumia kufuta miguu ya Yesu badala ya mafuta hayo kupigwa bei na fedha hizo kwenda kusaidi masikini. Yesu aliwaambia masikini mnao siku zote. Kadri uchumi unavyokuwa gape la masikini litapungua.
 
Watanzania Wengi hata maji ya kunywa shida sembuse uhakika wa mlo wa siku.Hatuli matakwimu machawa
 
Huyu nae Hana mpya, amekuwa kama Malaya tu, Danga lazima litamsifia bwana anaelinunulia bia.
 
CM1774858 nakukubali sana tu
 
Hongera sana Rais Samia acha waongee wewe chapa kazi tu
 
Anatafuta uteuzi maana ukijipendekeza lazima upewe shavu.
Kumbuka aliondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa wa Simiyu.
 
Wanaposema uchumi umepanda ni wao,sio wako.
Watanzani bwana,

Hivi mnataka nini ifanyike ndio muamini uchumi unakua,

Tanzania mambo yako sawa mno,

Hebu angalieni huko Kenya,

Angalia Ethiopia

Angalia Uganda
 
Kafulila Kuuza Kwa wazungu ni mbaya sana afadhari Kwa waarabu.
 
Watanzani bwana,

Hivi mnataka nini ifanyike ndio muamini uchumi unakua,

Tanzania mambo yako sawa mno,

Hebu angalieni huko Kenya,

Angalia Ethiopia

Angalia Uganda
hao wote wamefeli kama sisi,tunataka kua kama singapore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…