Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
M23 hawajasema wanataka kupewa nchi yao....
 
Kitulize, wewe endelea kuita tu mama mama mama...na kuvaa suti zake Magoti.
Nimekituliza sana

Yaani hapa niko na gwanda la buluu nasubiri kuandamana
 
Wote hao wawili walishika madaraka ya nchi zao kwa uasi - waliziangusha tawala zao kwa mapinduzi ya msituni.
Wanatakiwa kushtakiwa kwa uhaini.
Tshisekedi pia aliingizwa madarakani kwa Fayulu kuporwa ushindi na Kabila.
 
Kagame anawapelekesha
 
Unataka kutuambia Kongo ni nchi kubwa jinga?
Hilo ni jibu la kupigia mstari kabisa, ila watakuja hapa wajinga watasema ooh ni kwa sababu ya madini sijui West wamefanya nini na blah blah nyingine nyingine nyingi tu kama vile Congo ndio nchi pekee yenye madini dunia hii.
 
Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
Wacongomani wa asili hawajawai kusema hivyo we mkimbizi wa juzi tu unalilia ardhi.
 
Wacongomani wa asili hawajawai kusema hivyo we mkimbizi wa juzi tu unalilia ardhi.
Sio lazima hata Wacongamani wenyewe waseme hivyo, kila mtu anajua sababu mojawapo ya machafuko Congo na kukosekana order katika sehemu kubwa ya nchi ni kwa sababu ya serikali dhaifu(weak state).
 
Sio lazima hata Wacongamani wenyewe waseme hivyo, kila mtu anajua sababu mojawapo ya machafuko Congo na kukosekana order katika sehemu kubwa ya nchi ni kwa sababu ya serikali dhaifu(weak state).
Wakulaumiwa hapo ni nani ?
 
Sio lazima hata Wacongamani wenyewe waseme hivyo, kila mtu anajua sababu mojawapo ya machafuko Congo na kukosekana order katika sehemu kubwa ya nchi ni kwa sababu ya serikali dhaifu(weak state).
We na utusi wako mna nini zaidi ya mauaji, na kuweka Rwanda kama ngome yenu.
Nchi ni ya kwao waachwe.
 
..Congo tayari ina utawala wa Majimbo.
Kwenye federation suala la ulinzi huwa ni la serikali kuu, sasa Federal government haiwezi hata ku train wanajeshi wake hadi inaleta mamluki(mercenaries) wazungu kutoka Ulaya hiyo serikali ina maana gani!
 
Mahaba yamekuzidi kimo mbona kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…