Ndio... Kagame anaweza kufanya hayo aliyotishia.

Kagame bado ni kipenzi cha mabeberu, hilo linamhakikishia Uhuru wa kufanya lolote.......wakumzuia Kagame kwa Sasa ni hao mabeberu tu (US & UK).

T14 Armata
Mkuu T14 Armata nini mawazo yako juu ya hili
Kagame is bluffing. Rwanda haina uwezo wa kuisumbua South Africa kwenye field.

Presence ya South Africa pale Mashariki mwa DRC ni ya troops wa kawaida hakuna silaha nzito. Ila ikitokea Kagame na RDF yake wanakuwa serious kushambulia vikosi vya SA, basi reinforcement zikija na SA wakiamua kuichukulia kama total war hao Rwanda hawana maajabu watafanya.

Rwanda ina silaha za kisasa chache maana haina bajeti ya procurement wala maintenance ya silaha nzito. Airforce yenyewe tu hawana fighters, wana vihelikopta vichache mno wanavishikilia kwa umakini.
Ground hawana idadi kubwa ya silaha kwa ajili ya heavy engagement dhidi ya encounter na jeshi kama SANDF. Wanakuwa na silaha chache za kupigia picha kujitapa, ila kwenye numbers SANDF ina namba kubwa maradufu kuliko RDF.

Rwanda itakuwa limited na budget na silaha, SA inakuwa na challenge ya mobilization kubeba silaha kutoka kwake mpaka Mashariki mwa Congo. Ila Zimbabwe iliwahi fanya hivi miaka ya 1998-2000 ilituma wanajeshi 16,000 DRC na walizuia waasi kuingia Kinshasa. SA ina uwezo kuizidi Zimbabwe.
 
Nakuunga mkono asilimia 1000 kwani madaraka kupita kiasi hulevya kupita kiasi. Kagame akumbushe kilichompata nduli Idi Amin alipoichokoza na kuichokonoa Tanzania. Awaulize wareno kilichowapata Angola na Msumbiji.
Ndoto za kimweli 😁😁😁😁 yani tanzania mkampige rwanda kwa silaha zipii? Hizi hizi za kununuliwa na rostam azizi na lugumi au kuna nyengine 😁😁😁
 
Rwanda Wana air defense system bora kwa sasa Dunia ya Iron dome ambayo gharama yake inazidi bajet ya wizara tatu za tanzania
 
Ndoto za kimweli 😁😁😁😁 yani tanzania mkampige rwanda kwa silaha zipii? Hizi hizi za kununuliwa na rostam azizi na lugumi au kuna nyengine 😁😁😁
Sijui kama unajua unachoandika mwanangu. Hata tulipomchapa Amin na kumfurusha mreno na kaburu, woga wengi kama wewe walidhani ni ndoto za alinacha wasijue tunaweza.
 
The issue here is Who supporting/funding M23? no matter they are Ruwandese or Congolese, suala ni nani anawasaidia hao rebels.
Ruwanda is the first suspect accused to support/fund M23.
Kagame asifanye Maraisi wenzake hawaelewi kitu
Maana ya rebel ni nini!? Kuna rebel kwao?
 
Sijui kama unajua unachoandika mwanangu. Hata tulipomchapa Amin na kumfurusha mreno na kaburu, woga wengi kama wewe walidhani ni ndoto za alinacha wasijue tunaweza.
Dunia ya leo sio ya mwaka 77 huu ulimwengu wa A.I technology; vita vya kupasua mawe kwa vichwa na kukalia misumari vilishapitwa na wakati sasa nyie jichanganyeni mtageuzwa ndafu😁😁
 
Such braggadocios are nothing but madness and suicidal attempts for Kagame. Maybe, Kagame is looking for another pretext for sympathy after genocide brouhahas and hullabaloos have faded or stopped working and become monotonously hogwash. No way Rwanda can practically stand up to South Africa. Kagame seems to suffer from a certain insanity that doctors need to look into to help him. How can a tick stand up to an elephant? We understand. Kagame has some dubious backers whose intentions is to further conflict in the region for the purpose of clinging to DRC's vast resources of value. I see no logic or practicability in Kagame's attempts to commit suttee diabolically. Rwanda is like Isreal. The 'powers' and pride they duo has depends on their masters. Remind yourself how Israel tried to fell Hamas to no avail. How the so-called powerful country would be silenced by a people without an army or even a state. This is how con nations behave. Kagame must be taught a lesson forthwith and timely.
 
Eti ameshindwa kuwamaliza Hamas?!
Kumbe kichwa kimejaa kamasi ndio maana unashabikia ccm

Mbinu, uzoefu, vifaa,morali ya wapiganaji pamoja na utayari wa mapambano na discipline Vinachangia ushindi kwa asilimia kubwa
Wale mashoga wa Israel wamewamaliza Hammas?

Ndio hivyo hata hao kina South hakuna wanachowaweza M23/Rwanda
 
Katika tovuti ya wizara ya mambo ya nje ya South Afrika:

Habari za kusikitisha kuwa Tanzania pamoja na South Africa na Malawi zimepoteza askari kadhaa katika kukabiliana na M23

The attacks on peacekeepers resulted in the deaths of SAMIDRC members from other troop contributing countries, namely, Malawi and Tanzania, as well members of the UN Organisation Stabilisation Mission in the DRC (MONUSCO) brigade. We honour all the lives that were lost and pass our condolences to their families, governments and citizens. The situation in Goma and Sake, where our troops and their counterparts are stationed, remains very tense, volatile and unpredictable...

Soma zaidi : Statement by President Cyril Ramaphosa on the recent developments in the eastern DRC and deaths of South African soldiers, 29 January 2025
 
Habari za kusikitisha kuwa Tanzania pamoja na South Africa na Malawi zimepoteza askari kadhaa katika kukabiliana na M23
Hivi jeshi la SAMIDRC lilikuwa limeenda kulinda amani au kwenda kupigana na M23 ambao ni Congolese Tutsis?

Na kama ni kwenda kulinda amani mbona inasemekana walikuwa wanapigana bega kwa bega na FLDR Interahamwe?

Maswali ni mengi sana?!
 
PK akumbuke kutengeneza maadui wengi kuliko marafiki haitomsaidia.

Ajaribu kuwa mnafiki japo kidogo
 
Rwanda imewashangaza askari wa Monusco wapatao 12,000 na jeshi la Drc kwa namna walivyoitwaa Goma kirahisi, usiwabeze.

Isitoshe wamenunua mpaka drone za kisiasa za uturuki na hata vifaa vya Kujam drone wanavitumia dhidi ya majeshi ya UN.

Kwa Sasa Rwanda ni moja ya jeshi lenye nguvu maziwa makuu.

South Africa ya Sasa haina nguvu kijeshi kama enzi za makaburu, siasa za ANC na ufisadi zimedumaza jeshi lake.
 
Safi mkuu aone mtoa mada na wenzie
 
Aliingia huko South na akamuua adui yake na wauaji wakatoka salama.. Anajiamini anammudu Ramaphosa. Kapandikiza watu wake wa kutosha sana
Sometimes siyo lazima mapandikizi, anatumia udhaifu wa nchi as pale SA katumia ule wa raia kumiliki bastola ovyo huku kukiwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wazawa.

Wazawa na makundi haramu SA yanapokea order yoyote kufanya lolote ndani ya nchi yao.

Mfano; unadhani waliomteka yuke binti Maria Sarungi ni watz?
Looping can play!.
 
Mozambique alilazimishwa kukubali wanyarwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…