The attacks on peacekeepers resulted in the deaths of SAMIDRC members from other troop contributing countries, namely, Malawi and Tanzania
😳😳Hee kumbe na hawa wa kwetu wameuawa huko? mbona kimya au sio news?
 
Baada ya kuondoa vichwa kama Nyerere na Magufuli na kuongozwa na wanaofikiri kwa matummy na mabutty, unategemea nini? Zama za mchonga mdudu kama Kagame wala asingetingisha mkia wake kabla ya kushikishwa adabu.
Kipindi cha magu kagame aliua askari wetu huko drc na magu akufanya chochote,pk mtu aliyekua anamuogopa hapa TZ ni membe
 
Mk23 sio waasi wa congo,wale ni wanyarwanda pure,kule congo wanajua wanachokifanya,siku akiondoka kagame madarakani ndio watajua kwao ni wapi
 
Raisi wa SA anapata taarifa kupitia makamanda wake akiwa ofisi ingawa yeye ni Usalama by professional Kagame hua anafanya doria mwenyewe na kujua yanayoendelea,Kagame ni mwana jeshi by professional huu mchezo ni hatari sana.
Naona kuna mtu toka magharibi hampendi Kagame kwakua anawazuia wanaoiba madini Congo ndio maana hii kutajwa sana Kwa Rwanda kila kaugomvi kanapotokea
 
1. Jirani zetu Rwanda wameamua kufanya mzaha wa kutaka vita na South Africa [kwa vifaa alivyo navyo SA si kama hao wacheza ndombolo huko Eastern Congo].

2. PK kaamua kufanya stand up comedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…