Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
GSM wanahusikaje?Daah mimi ni mshabiki wa Simba kindakindaki lakini Kagera anashinda goli 3 leo,Sema nini GSM anachofanya inabidi takukuru aingilie kati
HahahImeishaa hiyoo dah
acha bangiKama gsm survived magu pamoja na madudu yote yale ya kodi usitegemee chochote
Soma letu ndio limeisha rasmi
Kwii kwiii kwii, tehe tehe teheTukiacha utani chama anajua
Wanafanya walichoelekezwa na Pablo EscobarSimba sijui wanafanya nini uwanjani
Atie kitu nyavuni sasaTukiacha utani chama anajua