Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Hahahahaha wachezaji wa simba wanaloga sana yani mchezaji kama boko anapata namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSM wanahusikaje?Daah mimi ni mshabiki wa Simba kindakindaki lakini Kagera anashinda goli 3 leo,Sema nini GSM anachofanya inabidi takukuru aingilie kati
HahahImeishaa hiyoo dah
acha bangiKama gsm survived magu pamoja na madudu yote yale ya kodi usitegemee chochote
Soma letu ndio limeisha rasmi
Kwii kwiii kwii, tehe tehe teheTukiacha utani chama anajua
Wanafanya walichoelekezwa na Pablo EscobarSimba sijui wanafanya nini uwanjani
Atie kitu nyavuni sasaTukiacha utani chama anajua