Ooh aisee Muzamiru maweee Mungu akupe nini tena !!
 
Watu misiokuwa watetezi wa ubingwa kwa zaidi ya miaka minne mnawezaje kuzungumzia haya?

Haya maneno nyinyi mnatakiwa muongee baada ya LIGI kuisha na wakati huo muwe na kombe, au kombe tayari mshachukua na sisi hatujui?[emoji28]

Chukueni kwaza kombe ili muonyeshe utofauti, maana kama ni meneno yenu tunayasikia kwa misimu minne.
 
Bwalya hajawahi fanya kitu cha msingi toka afike Simba hata huyu Mzamiru naona kashazeeka
 
Ona wachezaji wanavyo devera halafu timu ikipata matokeo mabaya lawama ziende kwa kocha

Na ndio maana nasema kuna mashabiki wasio jielewa humu ndani, hivi kwa umazafaka wanaofakisha kina muzamiru na kapombe utampa kocha lawama kwa kipi?
 
Bora Ndemla arudishe kikosini kuliko huyu Mzamiru
 
Mechi ya Kagere ,kocha naye muoga wa kufungwa kajaza viungo kibao.
 
Kabisa hawajui kama kombe linaenda jangwani
 
hivi kocha ndiye amewaambia wacheze hivi au wao wenyewe wamejiambia hawa jamaa[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…