Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Simba inabidi wacheze direct mara nyingi.
Hizi kampa kampa tena kwenye nusu yao haitakuwa na madhara
 
Ungetuwekea yule marasta leo pale mbele tusingekuelewa kabisa
Naona kocha kaamua kukubali kuwa team yetu haina forward wa maana, kaamua kujaza viungo washambuliaji ili watumie zile mafasi ambazo huwa wanazitengeneza kisha zinaharibiwa na strikers.
 
Naona kocha kaamua kukubali kuwa team yetu haina forward wa maana, kaamua kujaza viungo washambuliaji ili watumie zile mafasi ambazo huwa wanazitengeneza kisha zinaharibiwa na strikers.
lakini baadaye atamuingiza hata mmoja
 
Back
Top Bottom