Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Hivi Kuna Timu gani laeo hulo Chan imefungwa 9,nime sikia mtoto anaongea huko nje
 
Uwanja was Kagera na Kagera siku zote huwa mfupa mgumu kwa Simba...mwacheni kocha!
Hata kwenye maisha ya kawaida Kuna ups and Down!
 
Acha uongo.... suala la simba kwa sasa ni sikio la kufa... chama kacheza vizuri kabisa... tatizo ni kwamba akili yako yote ulikuwa unamfikiria chama na ulijiandaa uandike chochote kuhusu chama mara tu baada ya match kuisha.
 
Back
Top Bottom