Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Kua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.

kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]
 
Gooooooooooooool striker mashine captain bolo anasawasisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibuni kwenye uhalisia
 
Mechi Na Mbeya City, Mashabiki Wetu Walipata Ajari Tukafungwa, Mechi Hii Pia Mashabiki wamepata Ajari, Tumefungwa.

Kuna Namna Lakini Nafikiri huu Ndio Mwisho wa Kufungwa Hadi Ligi Inaisha.
 
Kua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.

kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Umemponza mwenzio kesho anatolewa vitu vyake nje
 
Back
Top Bottom