Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Poleni sana Wekundu wa Msimbazi kwa matokeo ya leo. Mpira ni dakika tisini na ubingwa wenu uko palepale. Ninamuomba Haji Manara atuchekeshe kidogo kuhusu matokeo ya mpira wa leo.
 
Kocha pekee duniani anayeweza kucheza bila ya kuwa na namba 9 asilia (False 9) ni Pep Guardiola, Pablo asije akajariibu tena mwisho iwe leo, nihamie uzi wa Afcon sasa
Unabishana na mwanafunzi wa zidane?
 
Mechi Na Mbeya City, Mashabiki Wetu Walipata Ajari Tukafungwa, Mechi Hii Pia Mashabiki wamepata Ajari, Tumefungwa.

Kuna Namna Lakini Nafikiri huu Ndio Mwisho wa Kufungwa Hadi Ligi Inaisha.
Na mvua ikinyeshaga mnashinda wanga nyie
 
Huwezi kuchukua ubingwa kwa kuwategemea akina boko. Na huwezi kuchukua ubingwa kama huna washambuliaji wa kutisha. Kufungwa huku kuwe fundisho kwa Viongozi wa Simba kufanya sajili zenye maana na sik mihemko.
Mimi nakubaliana na ww mkuu- sioni tatizo la kocha- tatizo ni viongozi- wamesajili wachezaji wenye viwango duni- na wale wa zamani- wengi wamebakiza majina tu.
 
Kocha pekee duniani anayeweza kucheza bila ya kuwa na namba 9 asilia (False 9) ni Pep Guardiola, Pablo asije akajariibu tena mwisho iwe leo, nihamie uzi wa Afcon sasa
Pablo alikuwa anajaribu mwishowe kiporo chake kimechacha.
 
Kwa mpira wa kisasa hakuna namna Pablo anakwepa hili zigo
Hata kama vipi lakini quality ya wachezaji wa Simba mmoja mmoja Simba haistahili matokeo haya kama Pablo angekuwa kocha mzuri kwa Simba
Weka Lamination kwenye haya maoni. Asiyekubali hajui soka. Hakuna kocha pale kuna msimamizi wa mazoezi.
 
Nyie biashaneni mambo ya soka, mi mwenzenu acha niendelee kutangaza biashara yangu ya Chige Travel Agency. Tumia Promo Code ya MwamedChomaPablo ili kupata discount ya 25% kwa ndege zote zinazoenda Nchi za Jumuiya ya Ulaya!
 
My first shout out to Ahamed Ally,second to Babra and third is to Mo Dewj. I want to congratulate them for keeping Boko,Mugalu,Nyoni and Gadiel to the squad, indeed they are the hearts of our winning to Mbeya city and Kagera
 
Ni ivyo tu pumba na mchele vinaanza kujitenga taratiiibu, mechi 3 bila goli ata la kusingiziwa ni hatari kwa timu inayojinasibu kuwa inapigania ubingwa, No kiporo pongezi bodi ya ligi msimu huu mmejipanga vizuri
Leo kwani wamenlaumu nani? Na wamezusha eti uwanja wa Manungu unefungiwa
 
Back
Top Bottom