Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwa Simba hii sijaona ikishinda yoyote ile hivyo nafasi ya 16 akijitaidi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo, unatakiwa kushinda huku ukiombea Mwanachi afungwe!!Kushinda tutashinda ila huku kuchelewesha chelewesha ndio ambako hatutaki
Ya piliNawaona kabisa wakimaliza kuanzia nafasi ya 10 kushuka chini, wewe unawaona wakimaliza nafasi ipi?
NB
Tajiri hajasusa tu?
Simba haina ubovu wowote ule ligi hii ngumu sana halafu wananchi timu yao iko vzr sanaa msimu huu wasije wakaja kusema tumechukua ubingwa kisa wenyewe walikuwa na timu mbovu, timu yao iko vzr sanaaa ila ligi ndo ngumu.Sitaki kuamini kwann Yanga tuliwaachabila kuwafunga siku Ile litimu libovu kama hili
WE JAMAA NI HATARI SANA!!Haya Hamisi Kiiza Diego ndio huyo Sasa anaingia atatuua huyu tusipo kuwa makini
ManinaUlitamani sana sare bahati mbaya kitambaa chote fundi kamaliza kumshoneA mumeo😄
.Yupo ndo huyo hapo sasa
Waitoe wapi!!!?Chukueni point 1 chap
Mbona hakuna hata mmoja mwenye ubora wa kuridhisha?Weka Lamination kwenye haya maoni. Asiyekubali hajui soka. Hakuna kocha pale kuna msimamizi wa mazoezi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kushinda tutashinda ila huku kuchelewesha chelewesha ndio ambako hatutaki
Una wazimu?,hii nchi kuna mambo mengi ya kufanya ndugu!,Gongowazi hizi mbio bado sanaaa.