Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Shemela Shadeeya wahurumie kidogo....ha haaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemela Shadeeya wahurumie kidogo....ha haaaa....
Inaitwa kutula minzi....Sasa Leo mmekutana na wahaya na wamewamwaga maji pazuri kabisa!!
Hahahaaa. Tuliwavumilia sana ile misimu minne shem.Shemela Shadeeya wahurumie kidogo....ha haaaa....
Simba ili mwondokane na ukame wa Magoli mpeni usajili Hamis Kiiza Diego
Yeah shemela...Hahahaaa. Tuliwavumilia sana ile misimu minne shem.
Hapa ndo tunawaonyesha kwamba na sisi tulikuwa tunaumia kama wao wanavyoumia sasa.. 🤣🤣
Wakumbushe na formula ya ubingwa mpaka sasa.Hahahaaa. Tuliwavumilia sana ile misimu minne shem.
Hapa ndo tunawaonyesha kwamba na sisi tulikuwa tunaumia kama wao wanavyoumia sasa.. 🤣🤣
Mikia namba 4, alizidi lakini. Mi naona wako nafasi ya 7.....Mwakalebela ......alitoa list .....MiKIA FC walipinga
Ewaaaa. Kuwakatisha tamaa ni muhimu Mkuu. Teh teh.Wakumbushe na formula ya ubingwa mpaka sasa.
Ili wawe mabingwa lazima yanga apoteze mechi tatu na draw mbili na wao washinde mechi zao zote zilizobaki.
Tuwapatie kisu wakate tamaa