Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Serikali ya ccm inatakiwa kutupa majibu juu ya usalama wa watoto wetu mashuleni, sio kutwa kucha wanawaza kushindana na chadema kujaza watu kwenye mikutano ya kampeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahala[emoji777]Kuna shida mahala!
Ova
Hakuna chembe ya udini kwenye swali lake. Ni swali ambalo hata asiye na dini na ana fikiri kwa utimamu atajiuliza, maana majibu yake yana uwezekano mkubwa wa kuwa chanzo cha suluhu. Kwanini shule za waislamu pekee!?Acha Udini na Siasa kwenye janga kama hili.
Ndio malezi ya kisasa et.Mtoto miaka 6 anakaa bweni! Hii si sawa
Nakubaliana na wewe.Mtoto miaka 6 anakaa bweni! Hii si sawa
Hivi ujenzi wa hizi shule uchoraji wake unafanywa na wataalamu au ndio hivyo tu ??Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana.
Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12.
Taarifa zaidi inakuja...
Wanafunzi 10 wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya bweni la shule yao ya Byamungu English Medium Primary School iliyoko wilayani Kyerwa kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Jumla ya wanafunzi 74 walikuwepo kwenye bweni hilo ambalo chanzo cha moto hakijajulikana
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amesitisha shughuli za malazi katika shule hiyo kwa muda.’’ Nachukua hatua nyingine za ziada, hatua ya kwanza na ya awali kabisa tunasitisha huduma za malazi katika shule hii watoto wote waliokuwa wakilala katika huduma ya hosteli au bweni huduma hiyo sasa imesitishwa mbaka itakavyoelekezwa vinginevyo’’, amesema Brigedia Jenerali Marco Gaguti alipotembelea eneo la tukio.
Amesema Sambamba na ameelekeza kamati za usalama za ngazi zote kataika mkoa wa kagera kufanya mapitio upya ya shule zinazotoa malazi, kuhakiki kwamba shule hizo kama zinavyo vibali halali vya serikali na ubora wa majengo yanayotumiwa na wanafunzi, na kuangalia mifumo ya uzimaji moto na kujiokoa inapo.
Amesisitza kuwa kama sifa hizo hazitakua zimekidhi basi hatua zichukuliwe za kufungia huduma hizo katika shule husika.
Awali Mwenyekiti wa kijiji Bw. Munaraka Muhammod aliwaomba watu walioko katibu na Itera wafike kusaidia kuuzima moto huo uliowaka kuanzia jana usiku .
Chanzo za ajali baado hakijajulikana.
Huu ni ubaguzi ndugu yangu, Natamani ufute hii msg yakoHizo shule za wenzetu waislamu zina shida gani? Kila siku zinaungua shule zao tu