Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Jaf
Jaffo ni msanii mwenye elimu na upeo mdogo. Survival yake ni kujipendekeza tu na amefanikiwa kwa kutumia uswahili wake.
Jafo ni debe tupu plus ndumba lakini kichwani hamna kitu, kazi yake kusifia hata visivyo sifika kwahiyo ishu ya DED Geita na yenyewe iishe maana hata yeye alifanya kazi na madiwani na hayakua maamuzi yake binafsi, kajamaa kanauzi sana hako kajafo ndiomaana kanakula hadi wake za watu wakati kana wake wanne= abishe aone hii iko wazi anakula kaafisa habari kake hafichi mpaka aibu mxiuuuuuu
 
Kosa ni kosa tu hata uwe na akili nyingi. Kuhusu ma-DED walionunua magari ya V8 tumekwishasema kuwa hawana makosa kutokana na mchakato wenyewe wa kununua magari ya Serikkali ulivyo.

Magufuli aache double standards, aamuru ma DED wote waliosimamishwa kuchunguzwa kwa ununuzi wa magari haya ya V8 warudishwe wote kazini ikiwa Ni pamoja na DED wa Geita bila mashharti
 
Jaf

Jafo ni debe tupu plus ndumba lakini kichwani hamna kitu, kazi yake kusifia hata visivyo sifika kwahiyo ishu ya DED Geita na yenyewe iishe maana hata yeye alifanya kazi na madiwani na hayakua maamuzi yake binafsi, kajamaa kanauzi sana hako kajafo ndiomaana kanakula hadi wake za watu wakati kana wake wanne= abishe aone hii iko wazi anakula kaafisa habari kake hafichi mpaka aibu mxiuuuuuu
Huyo ni mswazi
 
Hapa kuna mawili huyu mkurugenzi hana makosa, nilishawahi kumsikia akasema taratibu zote zilifuatwa na alikuwa anajiamini anachosema. anyway tuchukulie kweli labda alifanya makosa, kwa maana hiyo wengine fanya kosa moja kubwa fanya mazuri matatu unasamehewa. lete maendeleo iba kidogo mazuri yafunike mabaya. Huyu jamaa hakukosa hawezi kununua gari kwa maamuzi ya mtu mmoja sheria za ,manunuzi zinajulikana kuna process ya approval
 
Pamoja na mapungufu mengine lakini nakiri kwamba Kahama tuna mkurugenzi mwenye sifa za uongozi licha ya kupigwa vita sana na baadhi ya viongozi wa kisiasa!

Anderson Nsumba anafanya kazi na ni mbunifu sana
 
... manispaa ya kwanza isiyokuwa makao makuu au sehemu ya makao makuu ya mkoa husika. Kuliwahi kuwa na debate humu JF; Kahama vs Njombe majibu yamepatikana leo anyway kama hakuna figisu figisu za kisiasa.
Kinachoamua Mji kuwa manispaa sio kuwa makao makuu ya mkoa,uzi utabaki pale pale Njombe Mji vs Kahama Manispaa ya kisiasa
 
Simpendi huyu mzee lakini Kahama ilichelewa mkuu kuwa manispaa, Njombe, Mpanda, Singida ni ndogo sn kwa Kahama
Njombe sio Manispaa ni Mji,sisi hstutakuwa Manispaa kwa feva za kisiasa bali uchapakazi wetu,before 2025 tutakuwa Municipal kwa kishindo
 
huruma kwa binaadamu mwenzako ni jambo zuri sana, lkn kuna binaadamu wengine wana roho mbaya zaidi ya wanyama, unakuta anafurahia binaadamu mwenzake kufukuzwa kazi!! sijui ananufaika nini zaidi ya roho ya kinyama.

Hongera mh. Rais kwa kuwa mwenye huruma viongozi wengine igeni mfano wa mhe. Rais.
 
Wale ambao walikuwa wanamdiss sijui wataweka wapi sura zao sasa.

Mchezo umeisha tayari anarudi kutumia V8 hati yake ya kazi kumbe ilikuwa safi kuliko mkuu alivyotarajia.
Unamchanganya na wa Geita
 
Ma-DED ibeni sana fedha za umma ila mpige kazi maana ndio falsafa ya hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom