evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Yaaani kapata dhari karudishwa na cheo kipya from DED to MEDKasamehewa na gari kapewa aendelee kutanua nalo 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani kapata dhari karudishwa na cheo kipya from DED to MEDKasamehewa na gari kapewa aendelee kutanua nalo 😂😂😂
Siyo Muhammad = MuamarHivi Muhammad Gadaffi alikuwa rais wa wapi?
Unaijua Kahama mkuu?Una haraka gani
Mstakabali wa Corona unao ww na familia yako,,Serikali imeshatimiza wajibu wake kitambo kukuambia uendelee kuchukua tahadhali kazi kwakoTunasubiria kwa hamu kuhusu mustakabali wa nchi juu ya Corona, wananchi wengi tupo njiapanda juu ya kauli yake ya jana ''Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana''
Kahama ni habari nyingine kabisa.... manispaa ya kwanza isiyokuwa makao makuu au sehemu ya makao makuu ya mkoa husika. Kuliwahi kuwa na debate humu JF; Kahama vs Njombe majibu yamepatikana leo anyway kama hakuna figisu figisu za kisiasa.
Kwani vip kuhusu Bariadi nayo ni Manispaa maana ndio makao makuu ya Mkoa wa Simiu... manispaa ya kwanza isiyokuwa makao makuu au sehemu ya makao makuu ya mkoa husika. Kuliwahi kuwa na debate humu JF; Kahama vs Njombe majibu yamepatikana leo anyway kama hakuna figisu figisu za kisiasa.
Hayo ni mawazo yako mkuuYaani, sijui tu Magu anampango gani, I can smell huko mbele Kahama kumegwa kipande na kwenda Geita then Chato inakua Mkoa! Moja ya wilaya za Mkoa wa Chato ni Bukombe, Kipande cha Kahama na Chato yenyewe.
Kaishi Syria mkuuHuyo dish limeng'oka kabisa no signal
Ila huyu Jaffo amezidi mno kujipendekeza kwa Rais,mpaka naona Mh. Rais anakunja uso kwa kukerwa kusifiwa kuliko pitiliza. Jaffo unatia aibu, wanaume hatuko hivyo.
Unachanganya mkuu, huyu siyo wa kwamsukuma .Sasa msukuma ataficha wapi uso wake?
... waweke mipango miji ikae sawa kungali mapema; hifadhi za barabara za kutosha, viwanja vya michezo, maeneo ya wazi, gardens, maeneo ya huduma za kijamii, n.k. Urasimu idara kama ardhi, n.k. uondoke watu wajenge kwa mujibu wa vibali sio tena kesho na keshokutwa bomoabomoa zinafanyika.Kahama ni habari nyingine kabisa.
... Meya wa Moshi leo amewalazimisha waliokuwa wamevaa barakoa kwenye kikao cha madiwani kuzivua. Serikali ni moja, kauli iwe moja.Mstakabali wa Corona unao ww na familia yako,,Serikali imeshatimiza wajibu wake kitambo kukuambia uendelee kuchukua tahadhali kazi kwako
Mkuu kama ulishatembelea Njombe na KahamaKinachoamua Mji kuwa manispaa sio kuwa makao makuu ya mkoa,uzi utabaki pale pale Njombe Mji vs Kahama Manispaa ya kisiasa
Hakuna kufa kizembe kama wao wamekubali kuvua basi watakuwa wamejihakikishia usalama wao... Meya wa Moshi leo amewalazimisha waliokuwa wamevaa barakoa kwenye kikao cha madiwani kuzivua. Serikali ni moja, kauli iwe moja.
... wamejihakikishia vipi usalama kwa vipimo gani vilivyochukuliwa ndani ya kikao zaidi ya kumfurahisha mkubwa?Hakuna kufa kizembe kama wao wamekubali kuvua basi watakuwa wamejihakikishia usalama wao