Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mswahili wa Pwani anasifia ajili ya uteuziIla huyu Jaffo amezidi mno kujipendekeza kwa Rais,mpaka naona Mh. Rais anakunja uso kwa kukerwa kusifiwa kuliko pitiliza. Jaffo unatia aibu, wanaume hatuko hivyo.
Huyo mzee kachanganyikiwa sababu ya ugumu wa maishaNakumbuka ulimsifia mh Raisi alipomtumbua, Leo tena kurudishwa kama sio wewe vile.
Maendeleo hayana chama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
It could be true anavuta bangi!Yule akishavuta ganja zake hanaga aibu
Tundu Lissu alipata kura nyingi Sumbawanga!Ni zile kura za kishindo zilizoandaliwa kwenye mabegi
Jafo ni debe tupu plus ndumba lakini kichwani hamna kitu, kazi yake kusifia hata visivyo sifika kwahiyo ishu ya DED Geita na yenyewe iishe maana hata yeye alifanya kazi na madiwani na hayakua maamuzi yake binafsi, kajamaa kanauzi sana hako kajafo ndiomaana kanakula hadi wake za watu wakati kana wake wanne= abishe aone hii iko wazi anakula kaafisa habari kake hafichi mpaka aibu mxiuuuuuuJaffo ni msanii mwenye elimu na upeo mdogo. Survival yake ni kujipendekeza tu na amefanikiwa kwa kutumia uswahili wake.
Simpendi huyu mzee lakini Kahama ilichelewa mkuu kuwa manispaa, Njombe, Mpanda, Singida ni ndogo sn kwa KahamaVigezo gani vinavyozingatiwa ili Halmashauri iwe Manispaa?
Au kile kigezo chetu pendwa cha jinsi nitakavyoamka..
Huyo ni mswaziJaf
Jafo ni debe tupu plus ndumba lakini kichwani hamna kitu, kazi yake kusifia hata visivyo sifika kwahiyo ishu ya DED Geita na yenyewe iishe maana hata yeye alifanya kazi na madiwani na hayakua maamuzi yake binafsi, kajamaa kanauzi sana hako kajafo ndiomaana kanakula hadi wake za watu wakati kana wake wanne= abishe aone hii iko wazi anakula kaafisa habari kake hafichi mpaka aibu mxiuuuuuu
Kinachoamua Mji kuwa manispaa sio kuwa makao makuu ya mkoa,uzi utabaki pale pale Njombe Mji vs Kahama Manispaa ya kisiasa... manispaa ya kwanza isiyokuwa makao makuu au sehemu ya makao makuu ya mkoa husika. Kuliwahi kuwa na debate humu JF; Kahama vs Njombe majibu yamepatikana leo anyway kama hakuna figisu figisu za kisiasa.
Nani alitoa hilo jina la Uwanja wa Taifa Kahama?Live kutoka uwanja wa taifa kahama JPM katangaza.
Umewaza kama mimi huyo DED ni kitengoZa TISS
Njombe sio Manispaa ni Mji,sisi hstutakuwa Manispaa kwa feva za kisiasa bali uchapakazi wetu,before 2025 tutakuwa Municipal kwa kishindoSimpendi huyu mzee lakini Kahama ilichelewa mkuu kuwa manispaa, Njombe, Mpanda, Singida ni ndogo sn kwa Kahama
Unamchanganya na wa GeitaWale ambao walikuwa wanamdiss sijui wataweka wapi sura zao sasa.
Mchezo umeisha tayari anarudi kutumia V8 hati yake ya kazi kumbe ilikuwa safi kuliko mkuu alivyotarajia.
Siasa IKO wapiKinachoamua Mji kuwa manispaa sio kuwa makao makuu ya mkoa,uzi utabaki pale pale Njombe Mji vs Kahama Manispaa ya kisiasa
Dawa umekunywa!?Njombe sio Manispaa ni Mji,sisi hstutakuwa Manispaa kwa feva za kisiasa bali uchapakazi wetu,before 2025 tutakuwa Municipal kwa kishindo