Tayari karudishwa kasamehewa na raisDED kahama arudishwe tu kazini si kwa sifa hizo zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari karudishwa kasamehewa na raisDED kahama arudishwe tu kazini si kwa sifa hizo zote
Live kutoka uwanja wa taifa Kahama JPM katangaza.Asante kwa taarifa ila ingependeza zaidi kama ungeweka na reliable source.
Ila Kahama pamechangamka na kujengeka kuliko Shinyanga mjini.Vigezo gani vinavyozingatiwa ili Halmashauri iwe Manispaa?
Au kile kigezo chetu pendwa cha jinsi nitakavyoamka..
Hivi kahama ni karibu na jijini chato?
CCM, Chama Cha MafisadiSource TBC
Hongera mkurugenzi kwa kuchapa kazi na kuipaisha Kahama kuwa manispaa.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo dish limeng'oka kabisa no signalUna haraka gani
Sijawahi kufika huko zaidi ya Shy mjini, siku nikifika nitaweza kujionea kwa macho.Ila Kahama pamechangamka na kujengeka kuliko Shinyanga mjini.
Huyu ni wa wapi kwao? Mzaramo?Ila huyu Jaffo amezidi mno kujipendekeza kwa Rais,mpaka naona Mh. Rais anakunja uso kwa kukerwa kusifiwa kuliko pitiliza. Jaffo unatia aibu, wanaume hatuko hivyo.
Kuwait I think mkuuhivi muhammad gadaffi alikuwa rais wa wapi?
Kasamehewa na gari kapewa aendelee kutanua nalo 😂😂😂DED kahama arudishwe tu kazini si kwa sifa hizo zote
Sasa msukuma ataficha wapi uso wake?Kasamehewa na gari kapewa aendelee kutanua nalo 😂😂😂
Idadi ya watu Kahama inakaribia laki 3 ni mji wa nane kwa wingi wa watu nchini kwa mujibu wa sensa ya 2012Sijawahi kufika huko zaidi ya Shy mjini, siku nikifika nitaweza kujionea kwa macho.