Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

😂😁😀
Yesu Wa Lugola
Anarudi Mjini Kwake
Tandikeni Maua Mfalme Wa Utukufu Apate Kuingia
 
Sisi IDAHINA Kahama mnatupa lini kuwa kata?

Maana wenzetu KAGONGWA mmewapa, NYEGEZI Tayari, BUZILANKENDE Tayari, KATERERO Tayari, Kule kata ya NGONO Tayari, BUDODA Tayari n.k
 
Sijawahi kufika huko zaidi ya Shy mjini, siku nikifika nitaweza kujionea kwa macho.
Idadi ya watu Kahama inakaribia laki 3 ni mji wa nane kwa wingi wa watu nchini kwa mujibu wa sensa ya 2012

Mapato inachangia 50% ya mapato yote ya mkoa..wa Shinyanga.

Inaendesha miradi mingi kwa fedha za ndani kwa hiyo sio tegemezi..

Asilimia zaidi ya 50 ya wakazi wake wameajiriwa katika sekta ya biashara na sekta nyingine rasmi.. kwa hiyo hawategemei kilimo.

Kwa kawaida hivyo ndio vigezo muhimu
 
Back
Top Bottom