Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kwa mpango huo hata Magu alikuta tayari miradi ya Sgr na flyovers ikiwa tayari imeanzishwa na Kikwete na yeye akaendeleza tu.
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Daaah
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kilà mmoja anaweza kuwa Rais kwa biashara hii ya kuitwisha mzigo Wa madeni kwa kujipa ujiko any body can do hivyo tusifurahie sana huko mbele tutateseka kama siyo kuuza Uhuru wetu na ardhi yetu.
 
Kilà mmoja anaweza kuwa Rais kwa biashara hii ya kuitwisha mzigo Wa madeni kwa kujipa ujiko any body can do hivyo tusifurahie sana huko mbele tutateseka kama siyo kuuza Uhuru wetu na ardhi yetu.
Madeni gani?
 
Serikali inatoa
 
Kwo hakuna kama samia inamaana kamzidi hadi mzee mwendazake??? Jamani kuweni msitari mmoja ili tuzijue rangi zenu make hatuwaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…