Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Nimekumbuka Wimbo wa Bonta, kahama kuna madini lakini vumbi mpaka........
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 

Alisema Ulimwengu baada ya muda si mrefu tutasikia atake au asitake.

Inawezekana Ulimwengu naye kama Lema akawa nabii.

Tuwasikie wabeba maono hawa wanaweza kuwa wanayo mengi ya kututabiria.
 

Unasoma hizi kama 23B kwa wilaya nzima kama si manispaa kama kumbukumbu zinavyokuja tokea enzi za mwendazake.

Kwani soko la kariakoo kwa soko tu si zimetolewa 28B?

RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

Kazi ipo.
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Hangaya mjanja Sana anamwaga mihela sukumagang,maana anajua huo ndo mtaji wa kuingia Ikulu.

Ukijitenga na sukumagang,
Ukijitenga na JPM.
Unaangukia pua asubuhi siyo jioni.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Mama huyu hana upendeleo kabisa?
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Izi kauli za atawale milele huwa zinakela sana ata zama za JPM watu waliwai toa izi kauli.
So mahaba yenu manataka wavunje katiba ya inchi?
 
Duh mleta mada atakuwa yupo nchi nyingine tofauti na hii nayoishi mimi.
 
Labda Fusso, semi trailer ni 1,050,000/-.
 
Uvivu wa kufikiria. Dkt Magufuli kazi yake tuliiona kwa zaidi ya miaka 20, tukamuamini na akaja kuwa rais na akatutendea yaliyo mema sembuse Mama yaani hana rekodi yeyote mnampamba eti kafanya kazi, muacheni kumdanganya danganya kwa uongo wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…