Wapi Rais Samia ameshare utukufu na Mungu wewe CHADOMO?Huyu nae anaweza kulala yoooo!!! Make mngu ni mngu mwenye wivu huwa hapendi kushea sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Rais Samia ameshare utukufu na Mungu wewe CHADOMO?Huyu nae anaweza kulala yoooo!!! Make mngu ni mngu mwenye wivu huwa hapendi kushea sifa
Upungufu wa akiliHivi mnaopost post kama hizi huwa mko serious kabisa au nini maana yake?
Khaaaa,
Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,
Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,
#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
Kama habari haieleweki mbona unalialia?Jinsi mnavyoreport habari, ni bora wangeachiwa wanahabari wenyewe wareport. Rais Samia anajenga Stand kweli!!? Pesa katoa wapi?
View attachment 2045659
===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano, Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .

Shida nini?Sijui watanzania nani katuroga!!!
Mama huyu hana upendeleo kabisa?Hangaya mjanja Sana anamwaga mihela sukumagang,maana anajua huo ndo mtaji wa kuingia Ikulu.
Ukijitenga na sukumagang,
Ukijitenga na JPM.
Unaangukia pua asubuhi siyo jioni.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Politics is not staticHivi vidudu Chawa na viroboto akili zao hazina akili. Kabisa kabisa..
Washasahau walikua wanasema hii nchi bila Mwendawazimu hawezi endelea.
lugha tuIzi kauli za atawale milele huwa zinakela sana ata zama za JPM watu waliwai toa izi kauli.
So mahaba yenu manataka wavunje katiba ya inchi?
Mtu naweza tembea umo umolugha tu
Labda Fusso, semi trailer ni 1,050,000/-.Makusanyo ya kodi za manispaa, shuru wa mashine za Malunga na Kagongwa kwa siku inazidi 15m. Kwa siku malori zinatoka lori zaidi ya 15 zenye mchele ambapo lori moja ushuru ni 420,000sh.
Bado fuso zenye kubeba mchele wa kwenda mikoani nazo kwa siku zinaweza kutoka 10.. Nimewekeza Kahama kwenye mazao kwahiyo najua mzunguko ulivyo
Uvivu wa kufikiria. Dkt Magufuli kazi yake tuliiona kwa zaidi ya miaka 20, tukamuamini na akaja kuwa rais na akatutendea yaliyo mema sembuse Mama yaani hana rekodi yeyote mnampamba eti kafanya kazi, muacheni kumdanganya danganya kwa uongo wenuView attachment 2045659