Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

Maccm hayaoni kwamba nchi yetu kitendo cha kuwa na Kaimu Balozi ni ishara kwamba hatuna thamani mbele yao.
 
Aondoke tu huyo bibi, tayari ameishaambukizwa unafiki na tabia ya majungu na kutoheshimu mamlaka za nchi mwenyeji. Buriani bibi hata usipokuja tena kutalii hatuwezi kulia. 😡

Huyo alikuwa ni kaimu tu, atakuja balozi halisi. Ila atakayekuja atakutana na ripoti ya huyu anayeondoka. Kwa taarifa yako kwakuwa kuna utawala wa shuruti, hata atakayekuja atafanana na huyu huyu.
 
Mkuu unaijua
Consular and diplomatic convention vizuri kweli?
 
kwani anaondoka kafukuzwa au wamarekni wanaleta baloz mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…