Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Nasubiria nimeona pale mwisho kawataja wakuu wa vikosi vyake kwa codename kisha kawapa code ya maelezo kwamba ikivuka 24 hrs hakuna kurudi nyuma.. ngoja masaa yanakimbia vibaya na muda sio rafiki mkweli
Kaka hivi hamja koma kujazwa TU alafu kimya? Usiamino sana hao watu, kesho ikopota kimya nam ignore
 
Kaka samahani kidogo mi najiuliza mbona huyu jamaa hakamatwi na kikosi kazi, wanamuogopa?
 
Kama muvi vile wasisahau kirekodi nasi tucheki shoo japo huyo jamaa mikwara ya stendi
 
Akupe taarifa wewe kama nani? Unawajua Watanzania wote waliopo NATO kupitia USA,,UK, EU? Kwanini unataka wakupe taarifa?
Mwambie huyo jamaa juzi Kuna demu ni mtanzania yupo kwenye jeshi la marekani nilishangaa sana
 
Vitisho vya kitoto, hana lolote.
Unatoa vitisho ukiwa chumbani!!
Naamini ndani ya masaa hayo Polepole hataachiwa tuone atakachofanya.
Na ukiona atakachofanya wewe utafaidika na nini?

Kwa hali tulipofikia kama taifa, kauli kama hizo si za kuzibeza!

Hata kama haumuamini jikalie kimya.

Watu walisema Oct 29 hapatakuwa na nywinywinywi wala nywenywenywe, zote hizo ni dharau mfano wa unazozimiliki wewe, matokeo yake yakawaje?

Acheni hizo jamani, muda huu si wa kuendeleza dharau.

Mtu asiye na lolote, hawezi kusimama kwenye mimbari huku akijiapiza kuwa atalipa kisasi kwa wahusika wote aliowataja!

Ni ngumu sana kwa raia from no where akatoa vitisho vizito vya namna hiyo.

Hapo kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
 
Kaka mbona hawamshiki na haja Anza Leo?
 
Hana jipya huyu,,
Kabla ya 29/10 mlikuwa mnasema hivihivi: Ooh, watanzania waoga, hawawezi kuandamana.

In a fraction of time, yakawa, na sasa wajinga hawa serikali yao ya kipuuzi wote wako matatani, serikali iko kwenye denial mode, haiamini kama imetokea!

Kuanzia kesho baada ya 24hrs, mtashangaa kuanza kuona ng'ombe kina Kikwete, Samia (ng'ombe jike) wakiangukiwa na vitu vizito na kufa mmoja baada ya mwungine
 
Kama Polepole alivyokuwa kwenye denial kuhusu Magu na huyu yupo kwenye denial kuhusu mdogo wake. Bado hajakubali kuwa wamemuua mdogo wake aisee.
 
Huyu mwanamke atatawala hii nchi kwa taabu sana! Atajificha mpaka lini? Huku vi Gen-Z vimezuia matamasha ya aina yoyote yanayosimamiwa na serikali huku Kanali anatishia kupita naye! Kazi kweli kweli!
 
Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Pole pole hakuuliwa chumbani ila alikuwa na majeraha. Wakaona wakimpeleka mahakamani itakuwa soo wakammaliza baada ya kushauriana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…