Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe, kinyume na hapo atalipa kisasi

Kwasisi tunaojua saikoloji na vipawa vya kumsoma mtu ,huyo jamaa utakuja kuniambia oneday labda polepole aachiwe ,jamaa hatanii....Jamaa atakula kichwa cha mtu huyo msoja huyo halafu komandoo.
Mm mwenyew mkuu hapa unguja komandoo lakin maji yakikupwq naenda telezo kaa na kasa naja nala
 
Nimekuelewa vyema mkuu
 
Unaweza kuiona kama ni mikwara lakini taarifa yeyote inayokuja katika hiki kipindi sio ya kuipuuza.
Taarifa ni taarifa hata ukipewa na chizi usiipuze
Ngoja tumsubirie muda unazidi kukata
Standby mode tutaunga tela!
 
Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!
Aiseee!!
Kumbe jamaa wanatumia mpaka Nyundo!!?
 
Huyu tahira pia wajinga wanamfuatilia. Mtu mwenye nguvu haongei.
Ni empty tin
Tuwe na subira ndugu zangu masaa 24 bado hayajaisha najua mtalaumu mapema ila masaa 24 bado yana count down tusubirie yaishe... unakumbuka October 29 ilipofika saa 2 wakaanza kusema kiko wapi hakuna mbu wa kuandamana mamaezao hawakuamini macho yao saa 3 na nusu watu hawa hapa wamejaa road.. Muda sio rafiki tuwe na subra
 
Masaa 24 maanake kesho atawasha moto?

Ngoja tumsubirie show ianze mapema 9dec tushereheke tu uhuru

Ila km atazingua ni kupuuzwa milele!
Nasubiria nimeona pale mwisho kawataja wakuu wa vikosi vyake kwa codename kisha kawapa code ya maelezo kwamba ikivuka 24 hrs hakuna kurudi nyuma.. ngoja masaa yanakimbia vibaya na muda sio rafiki mkweli
Masaa 24 siyo mengi.
Unaweza weka kambi hapa masaa yataisha ili tuone comeback ya jamaa.
Vinginevyo ni sawa na vitisho vya kiwavi
 
Moto tu🧑‍🦯🧑‍🦯🧑‍🦯🧑‍🦯🧑‍🦯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…