Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
prida mimi nimtu mzima tena mwanamke anayejua kila kitu so acha kusema wenzako vibaya hao wanaume watakubeza hapa ila kwamaana umetudharau good go ahead tupo hapa hapa hawawezi kuwaambia chochote cha kuku jenga
My sweetestCandy sorry kama umejihisi kudharauliwa kwa bandiko hili ila ni imani yangu tu kuwa mwanaume ndie anayemjua mwanaume na kwa vile nawaamini kwa suala hili basi ni rahisi mimi kuwaamini wanachonishauri.

Mfano naona wengi wao wamehimiza mista asikose japo kitumbua kimoja kila siku,hii wangesema wanawake wenzangu wala nisinge take action ila baada ya wanaume wenyewe kuhimiza hichi kitu naamini ni kitu muhimu kwao hivyo kuanzia jana shem wako kaanza maisha mapya.Atakosa tu siku simba wanacheza😃.
 
Makosa gani sasa Cocoh.😃
Sitafuti tiba.
Natafuta kinga.
Mr. wangu hajanichoka.
Hajuti.

I think uko right kwenye udespo😃😅😁.
I really love this man cocochanel.
I don wanna loose him.
I don wanna disappoint him.
He is so good that Im desparate kuhakikisha nalipa mema anayonifanyia na sidhani kama nitaweza kumlipa.
Ananipambania sana kwa namna nyingi siko tayari kumsononesha kwa vyovyote
 

Pekundu funguka😊 🤗

Kama upo ok, si husingeuliza? Wasiwasi wa nini? Ulipe nini na ni mwanaume kaiweka hivyo si wajibu wake au? 🫣

Funguka.. Wasiwasi wa nini? Sioni y? Umesema wanawake hayatuhusu.. Ndio maana nauliza tu maswali now.
 
1. Kaa mbali na simu yake.
2. Usiwe na gubu na manung'uniko saa zote
3. Chakula kiwe on time na varieties za kutosha.
4. Usitumie kipochi manyoya kama kigezo cha kumuadhibia ama nyenzo ya kupata unachotaka.
 
1. Kaa mbali na simu yake.
2. Usiwe na gubu na manung'uniko saa zote
3. Chakula kiwe on time na variances za kutosha.
4. Usitumie kipochi manyoya kama kigezo cha kumuadhibia ama nyenzo ya kupata unachotaka.
Asante kaka nitafuata ushauri wako ila simu yake ananipaga mwenyewe na kasema hataki tuwe na usiri kwenye simu zetu..
 
Asante kwa ushauri bro BK.
Sijionyeshi kwake kuwa sitaki kurudi kwenye usingo maza.Hii si ni siri nimewapeni nyie kaka zangu?😁.

Pia sifanyi haya kwa kuuogopa kurudi usingomaza tu bali ni kwa sababu ninampenda pia na kwa sababu amekua mwema sana kwangu hivyo naona njia pekee ya kulipa mema yake ni mimi kuwa mke mwema kwake.

Asante kwa ushauri🙏
Nitaufuata.
Barikiwa🙏
 
Naongezea pia, usimfatilie mumeo hata kama una ndoa na yeye, usifatilie nyendo zake, kazi yako kubwa ni kumuombea kwa Mungu akupende na kukuthamini muda wote.
Sawa kaka.
Nina katabia kakuchunguza yuko vp na wafanyakazi wake wa kike😁 ila nimekusikia nitaacha.
 
Zingatia
 
Basi labda simpi hadi akinai ndo mana anataka kila siku.
Sijawahi kumnyima kumuadhibu au kwa sababu yeyote ile zaidi ya kuwakuna siku nakua tu SIJISIKII😁.
Nakua natamani kukumbatiwa tu na akinikumbatiaga ndo napata usingizi mzuri.Tatizo yeye akinimbatia tu zinaanza "kero"za mambo mengine.
Sometimes nakua na stress tu za kazi sina mood na hayo mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…