Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Thank bro.🙏
Nimekuelewa.
Barikiwa🙏
 
Sawa asante.
Kwenye wivu ooh ooh ooh.
Nitapunguza.
Barikiwa🙏🙏
 
Nazingatia vyote kakake.

Kakitambi hata cha kufutia simu sikaruhusu labda hips za kufutia mikono wakati wa kupika.

Asante sana🙏
Barikiwa🙏
 
Seran njoo useme neno mzee wangu.
 
1.Punguza Mdomo
2.Punguza Mdomo
3.Punguza Mdomo
4.Akirudi Muache apumzike kwanza sio unaanza kuleta mdomo
5.Punguza Mdomo
6.Ushishike simu yake,ikitkokea umeshika basi baada ya hapo kusiwe na Mdomo
Kamdomo.
Nimekuelewa vyema.
Asante kaka🙏🙏
 
Asante ndugu yangu.
Nimekuelewa.
🙏🙏
 
Asante kaka mbalizi1
KIla point itazingatiwa ila hapo kwa chiu kuna mgogoro kidogo😁.
Anataka kila siku na mm kumpa kila siku siwezi.Kuna siku naona ni kero😃
Atani cheat?
Akizidisha sana kuna njia ya kumkatalia ila usimkaripie inatakiwa umzuie kwa maneno matamu na promise atabaki kutabasamu tu hata kama moyoni yuko na hasira.
Hizo ndio mbinu wanazotumia michepuko kuwaibia waume zenu.
 
Asante ndugu yangu.
Nimekuelewa.
 
Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.
Nikupongeze kwa jinsi ulivyokuwa mtulivu kupokea ushauri wa kila aliyeshauri hapa jukwaani, namna umejibu kwenye hili ni dalili ya usikivu, Tabia njema na nia ya dhati ya kuhitaji ushauri. HONGERA SANA.

Mengine yote wameshasema Wanaume wenzangu hapa Jukwaani, na ukifuatilia kwa umakini utagundua wote kuna vitu common wamevizungumza (Mpe UTULIVU, Mpe HESHIMA). Basi nenda ukatekeleze hayo, na mengine yote utazidishiwa.

Hilo chaguo la kutosikiliza ushauri wa wanawake wenzako, umechagua uchaguzi bora sana kwenye hili.

Relax, Enjoy Life.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…