Taatifa Mh. SPIKA.Ni ipi kauli serikali juu ya Kalyanda[emoji4][emoji4]ADMIN ni mfantakazi tu ametoa taarifa kuwa mabosi zake awajulikani walipo[emoji23][emoji23][emoji23] na yeye kapigwa na kitu kizito
Huo ni zaidi ya msibaKuna jamaa aliweka milion 10 toka mwezi wa 6 akawa anasubiria mwezi huu achukue mpunga wa kutosha akamalizie nyumba yake mara ghafla bin vuu anaona watu waleeee wanatokomea kusikojulikana[emoji38][emoji38][emoji38]
Tozo nyingine zimekusanywa na serikali kiana....[emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2383637
Niliambiwa mimi na huyu mwamba one b kwamba usiingie huko, serikali ina mkono wake huko itawapiga isepe
Nikanyuti sikuingia mara paaaa chali watu washaliwa, sasa ndio nmeamini kabla ya kufanya Jambo tafuta washauri wazuri usikurupuke
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ficha pesa zakoo kalinda anarudi tena kwa kasi
Watu wengi ila uchumi wa nchi ni mdogo. Unategemea nini mkuu?😂😂Uzazi wa mpango tena
ITV hili linawahusu kwa asilimia 100 ni kama yale ya Kigwangala na Qnet. Kuna haja ya watu influential au taasisi influential kua na uwezo wa kufanya due diligence kabla ya kuendorse kitu kwa general public wasiishie tu katika kupokea bahasha.Ukivilaumu vyombo vya habari unakosea ndugu,wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu unapaswa kuchanganua mambo na kujua baya na zuri.
Vyombo vya habari kazi yao ni kupokea matangazo na kuyatangaza bila ubaguzi,ukipeleka tangazo la pombe watalitangaza,tangazo la sigara watalitangaza wao si kazi yao usiwe mlevi,ukilewa ukaharibikiwa huwezi kwenda kuwalaumu kwa nini mmetangaza pombe halafu mimi nikawa mlevi hiyo ni wewe na akili yako.
Angalau kidogo ungelaumu vyombo vya usalama ingekuwa na mantiki.
Sidhani ni tatizo ila shida ilipo ni kupenda shortcut na wakat uhalisia hakuna utajiri wa hivoWatu wengi ila uchumi wa nchi ni mdogo. Unategemea nini mkuu?
Ni bora angebetiHuo ni zaidi ya msiba
Kwan mkuu ITV walikushikia panga ukaweke pesa zako umo, watu wamekuja na vibali vyote wanataka warushe tangazo lao na wakalipia sasa wao wahasukaje apo na wao wanafanya biashara?ITV hili linawahusu kwa asilimia 100 ni kama yale ya Kigwangala na Qnet. Kuna haja ya watu influential au taasisi influential kua na uwezo wa kufanya due diligence kabla ya kuendorse kitu kwa general public wasiishie tu katika kupokea bahasha.
Sawa my wanguSidhani ni tatizo ila shida ilipo ni kupenda shortcut na wakat uhalisia hakuna utajiri wa hivo
Huyo ndio kapigwa vizuri sana, aendelee kusubiri atamaliziq tu nyumbaniKuna jamaa aliweka milion 10 toka mwezi wa 6 akawa anasubiria mwezi huu achukue mpunga wa kutosha akamalizie nyumba yake mara ghafla bin vuu anaona watu waleeee wanatokomea kusikojulikana[emoji38][emoji38][emoji38]
Hawakushika panga ila unajua kwa nini wanahusika sababu ya reputation yao. Unadhani hili Tangazo lingekua Carrymastory linakua na weight kama ya ITV? Jibu ni hapana. Jamii ina imani kubwa sana na ITV na ndio maana hata habari ITV ina aminika zaidi.Kwan mkuu ITV walikushikia panga ukaweke pesa zako umo, watu wamekuja na vibali vyote wanataka warushe tangazo lao na wakalipia sasa wao wahasukaje apo na wao wanafanya biashara?
Ndo maana CCM imeweza tawala miaka 60 😆 😆 😆 .Nchi hii ina wapumbavu wengi sana
Ngoja waje wengine wajipigie tena
Ova
Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
ITV hawana liability yoyote hapo kisheria.ITV hili linawahusu kwa asilimia 100 ni kama yale ya Kigwangala na Qnet. Kuna haja ya watu influential au taasisi influential kua na uwezo wa kufanya due diligence kabla ya kuendorse kitu kwa general public wasiishie tu katika kupokea bahasha.
Kekundu kekunduu🎶Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Ndio kitu gani hio[emoji1787][emoji1787]
Another DECI
mtapigwa kwa ponzi schemes hadi lini
1. DECI
2. RIFARO
3. FOREVER LIVING
4. QNET
5. KALYNDA
6.....
Nyingine nyingi zitakuja sababu wapumbavu ni wengi sana .
mambo mengine mtakuwa mnaipa seriakali kazi ambazo ni za kijinga,iwaze kuwatafutiw madawa na maji safi wananchi wake,ikae inahangaika na watu wenye kukimbilia utajiri bila kufikiria vizuri,bali ni tamaa tu!!Mala ngapi zimeshatolewa tahadhari kwa hizi mambo?!!Acha tu watapeliwe,labda cha kuilaumu serikali ni kuwafanya wananchi wake wawe masikini,kwani ndio wahanga wengi wa michezo hii.Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.
Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.
Walisajiriwa brella wakalipa kodi.
Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.
Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
Reputation damage ndio inawahusu hapa.ITV hawana liability yoyote hapo kisheria.
Failure kubwa hapa ni taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yao hasa vyombo vya ulinzi na usalama.
Swali la msingi la wao kujiuliza, ni kwann matatizo haya yamekuwa yakojirudia mara kwa mara?
Anayeathirika pakubwa ni mteja kwa kutokufanya due diligence ya kutosha.
Sasa nikipeleka tangazo langu la msiba ITV, inabd ITV wakafanye due diligence kupata uhakika marehemu kafa?
ITV most likely watafanya due diligence kwenye mambo ambaye yatawaweka kwenye legal ramifications wao kama taasisi.
ITV watafanya nn unadhan pale taasisi inapokuja na genuine documents kutoka relevant authorities? Kuzi-despute?
Na kunawatu bado wanaamini App itafunguka wapeleke hela.