Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

Jana nimetazama kipindi chote cha big agenda cha Mr Nyanda na Dr. Bagonza.
Kuhusu Magufuli alisema kuwa magufuli kwa miaka 6 ya uongozi wake alionyesha jinsi system ilivyooza.
 
Jana nimetazama kipindi chote cha big agenda cha Mr Nyanda na Dr. Bagonza.
Kuhusu Magufuli alisema kuwa magufuli kwa miaka 6 ya uongozi wake alionyesha jinsi system ilivyooza.
Walimu walipokuwa wanapima listening skills hii ndio maana yake.
Pole kwa kuwa na poor listening skills.
 
Màgufool alikuwa na ujasiri wa kiwendawazimu ndio maana ikabidi wenye CCM yao wampokonye uhai
Kama wamempokonya uhai hawaitakii mema hii nchi,kundi lililopo ni hatari kwa maendeleo ya nchi na muhimu kwao ni mtoto wa nani anakula wapi.
 
Kuna wakati wapumbavu lazima wafe ili nchi iende mbele, kuna wakati wapumbavu lazima waende jela na mateso makali ili nchi iende mbele..
 
Back
Top Bottom